Mhambanyi Graphics

Mhambanyi Graphics All about Sports,News,Entertainment and Education

06/08/2026

Uongozi wa Msikiti wa Mnadani uliopo kijiji cha Mnadani kata ya Malindi wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga ukishirikiana na kamati ya ujenzi wa msikiti huo unaomba michango ya hali na mali ili kuwezesha kukamisha msikiti huo kwa hatua iliyofikia

Msanii wa Tanzania, Diamond Platnumz na Mkewe Zuchu wamethibitisha ujio wa Mtoto wao baada ya Diamond kuchapisha picha k...
02/08/2026

Msanii wa Tanzania, Diamond Platnumz na Mkewe Zuchu wamethibitisha ujio wa Mtoto wao baada ya Diamond kuchapisha picha katika ukurasaxwake wa Instagram ya kuwa Zuchu amejifungua salama.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diamond ameandika “Welcome to the world, our precious little angel. You are already loved more than words can ever say!”

“Karibu duniani, malaika wetu mdogo wa thamani. Tayari unapendwa kuliko ambavyo maneno yanaweza kueleza.”

Ujio wa Mtoto huyo unakuja siku chache baada ya wawili hao kufanya Baby Shower, ambapo walikuwa wakisubiri kumpokea Mtoto wao wa K**e, hadi sasa jina la Mtoto havijatangazwa rasmi na Wazazi hao.
Mhambanyi Media tunawapongeza wazazi hao kwa kupata Mtoto huyo


23/07/2026

Ameyasema hayo Mbunge wa Jimbo la Mlalo Ndugu Rashidi Shangazi katika mkutano wa hadhara kata ya Lunguza, ambapo ni muendelezo wa ziara zake jimboni Mlalo

Baba mzazi wa msanii mejakunta_ amefariki Dunia muda mfupi uliopita wakati alipokuwa akifanyiwa matibabu katika Hospital...
23/07/2026

Baba mzazi wa msanii mejakunta_ amefariki Dunia muda mfupi uliopita wakati alipokuwa akifanyiwa matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Temeke, jijini Dar es Salaam.

Taarifa za msiba huo zimethibitishwa na Meneja wa msanii huyo Wasowiso.Hata hivyo ikumbukwe jana Julai 21 Meja Kunta alitangaza kuuza baadhi ya mali zake kwa ajili ya kukamilisha matibabu ya Baba yake lakini hivi leo hatunae tena.

Uongozi wa Mhambanyi Media unatoa pole kwa Ndugu,Jamaa na Marafiki waliyoguswa na msiba huo 🙏.

A logo is a key of any brand's identity,because it acts as the FACE of you brand. It gives customers their first impress...
19/07/2026

A logo is a key of any brand's identity,because it acts as the FACE of you brand. It gives customers their first impression of the company and help them to understand what its product or services might be like
For unique logo just call us or direct Whatsapp 👉👉 http://wa.me/255716846008

Address

Mnadani Malindi Lushoto Tanga
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mhambanyi Graphics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share