SmartConnect Agency

SmartConnect Agency 🎯Helping Entrepreneur to Market their Business through Bulk SMS,Social Media Marketing & Web Design

22/07/2026

Makosa haya husabisha CPC kupanda
✅ Kunadili creative mara kwa mara
✅ Kutoa kua na clear message

Kujua zaidi comment "Ads" nikitumie checklist

16/07/2026

Hata k**a ukiwa na click nyingi na views nyingi lakini k**a OFFER yako ni mbovu utakua unachoma pesa zako tu kwenye Matangazo yako

15/07/2026

Meta Ads haiwezi kuokoa creative mbaya hata k**a umetarget audience sahihi utaishia kuchoma pesa yako

14/07/2026

Ukiona brand inaaminika mtandaoni, ujue kuna timu inayofanya kazi kwa bidii nyuma ya Camera

Content sio gharama
Ni uwekezaji unaorudisha wateja

13/07/2026

🔥 Creative mbovu hata k**a ukiongeza bajeti utoboi

09/07/2026

Ukweli mchungu ni huu.....👆

Kila huduma Ina hadithi, na kila hadithi inastahili kusimuliwa. Hii ni sehemu ya safari ya kuonyesha huduma bora zinazot...
08/07/2026

Kila huduma Ina hadithi, na kila hadithi inastahili kusimuliwa. Hii ni sehemu ya safari ya kuonyesha huduma bora zinazotolewa na Medewell Hospital

06/07/2026

Hatupost tu....
Tunatengeneza maudhui yanayovutia, yanayouza na yanayojenga brand 🔥

24/06/2026

🚨Watu wengi wanakosea hapa....
Bei ya TZS 500,000 inaweza kuonekana ghali, lakini TZS 497,000/= huongeza nafasi ya mteja kununua

Hii ndiyo nguvu ya Price Psychology

Siyo kila Mauzo yanahitaji kupunguza bei, wakati mwingine unahitaji kubadilisha namna unavyoiwasilisha.

23/06/2026

Kabla ya content nzuri unayoiona, kuna maandalizi, taa, camera, na timu inayohakikisha kila kitu Kiko sawa 🔥

Ubora sio bahati, mchakato

Address

Kisutu
Dar Es Salaam
121166

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:30
Tuesday 08:00 - 17:30
Wednesday 08:00 - 17:30
Thursday 08:00 - 17:30
Friday 08:00 - 17:30

Telephone

+255655939496

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SmartConnect Agency posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share