Luay Entertainment Tz

Luay Entertainment Tz TALENT MANAGER

Manager
23/12/2025

Manager

Ahsante Mungu kila Hatua Tunazozipita tunaamini ni njia ulizo tutengenezea ili tupite hakuna cha kulaumu wala kukosoa lo...
11/12/2025

Ahsante Mungu kila Hatua Tunazozipita tunaamini ni njia ulizo tutengenezea ili tupite hakuna cha kulaumu wala kukosoa lolote uliloamua liwe... sisi tunasema Alhamdulillah

Kikubwa ni kumshukuru mungu sababu yeye ndie anaepanga amepanga kumchukua kiumbe chake huenda kesho akanichukuwa mimi ki...
10/12/2025

Kikubwa ni kumshukuru mungu sababu yeye ndie anaepanga amepanga kumchukua kiumbe chake huenda kesho akanichukuwa mimi kikubwa ni Alhqmd8llah kwa kila jambo...
Pumzika kwa Amani Mwanaisha🥺😭

Kwenye picha moja
08/12/2025

Kwenye picha moja


Pole sana Suzi Bale kwa msiba mkubwa wa kufiwa na mtoto wako wa kwanza, Mwanaisha. Hakika hili ni jaribio zito na uchung...
05/12/2025

Pole sana Suzi Bale kwa msiba mkubwa wa kufiwa na mtoto wako wa kwanza, Mwanaisha. Hakika hili ni jaribio zito na uchungu ambao ni Mungu tu anayeujua. Tunakuombea Mwenyezi Mungu akupe subira, faraja na nguvu katika kipindi hiki kigumu.

Mwenyezi Mungu anaahidi kuwa yuko pamoja na wenye subira, na kwamba kila nafsi itaonja mauti. Tunaamini Mwanaisha yuko mikononi mwa Mola, mahali pa rehema na amani. Mtoto ni neema na mtihani, na kurudi kwake kwa Muumba ni sehemu ya Qadar ya Allah.

Tunamuomba Allah ampe Mwanaisha makazi ya peponi, amsamehe makosa yake madogo k**a aliyonayo k**a malaika mdogo, na akuwekee wewe Suzi utulivu wa moyo, subira, na malipo mema kwa hilo.

Pole sana Suzi. Mwenyezi Mungu akutie nguvu na kukupa subra katika hili.

MUNGU IBARIKI TANZANIA YANGU 🇹🇿
02/12/2025

MUNGU IBARIKI TANZANIA YANGU 🇹🇿

luay entertainment
12/11/2024

luay entertainment

Address

Tajiri__luay 1
Dar Es Salaam
1111

Opening Hours

Monday 08:00 - 23:00
Tuesday 08:39 - 23:00
Wednesday 08:00 - 23:00
Thursday 08:40 - 23:00
Friday 08:00 - 23:00
Saturday 09:00 - 23:00
Sunday 09:00 - 23:00

Telephone

+255655665540

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Luay Entertainment Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Luay Entertainment Tz:

Share