Oneone identity

Oneone identity "π—¦π—Άπ—Ίπ—½π—Ήπ˜† π—£π—Όπ˜€π˜€π—Άπ—―π—Ήπ—²"
Creative Design, Printing, Branding
& Customized Promotional Solutions
in Dar es Salaam Tanzania |πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

05/05/2026

Bado unahangaika na vendors wengi kwa ajili ya printing?
------------------
Unapoteza muda, unaongeza gharama… na mwisho wa siku unapata stress isiyo ya lazima.

Vipi k**a kila kitu kingekuwa sehemu moja?
Karibu Oneone, ambapo kila kitu ni Simply Possible.
Huduma kuanzia Designing, Printing hadi Promotional Materials
-------------------
Huduma zaidi ya 100+ za Printing & Branding utapata kwetu
Hakuna kusumbuka tena kutafuta sehemu tofauti.

πŸ“ Tunapatikana Mkwajuni, Kinondoni – Dar es Salaam
🚚 Tunadeliver Tanzania nzima
Fanya kazi na sisi…
πŸ‘‰ Pata matokeo zaidi ya matarajio yako.
πŸ“ž 0659 398 888 | 0658 828 716

30/04/2026

Tunatoa huduma ya Embroidery (Ushonaji wa Nembo) yenye ubora wa hali ya juu
Ya kisasa, Imara, Haifutiki kirahisi, Mwonekano wa kifahari
Weka Logo, Jina au Ujumbe wako kwenye mavazi na uipe brand yako muonekano wa kitaalamu na wa kudumu.
Inafaa kwa:
πŸ‘• Sare za Kampuni
πŸŽ“ Shule & Vyuo
🏒 Taasisi
🎁 Corporate Gifts
⚽ Sportswear
Tunashonea kwenye:
🧒 Caps
πŸ‘• T-Shirts
πŸ‘” Mashati
🦺 Jackets & Reflectors
πŸŽ’ Bags na zaidi…

29/04/2026

Tunatengeneza Corporate Gift Sets za kisasa
na zenye mvuto wa kifahari, Zenye ubora wa juu,
Zinatoa taswira ya kitaalamu kwa brand yako
Customize set yako kwa kuchapisha Logo,
Jina au Ujumbe maalum zawadi yenye maana na kumbukumbu ya kudumu.

Weka Oda yako sasa!!
☎️ 0659 398 888 | 0658 828 716
πŸ“Kinondoni Mkwajuni – Dar es salaam
🚚 Tunadeliver Tanzania nzima

Tunaprint PVC Cards zenye ubora kwa 4500TZS Tu!_______________________Ni Imara, Zinadumu muda mrefu na Mwonekano wa kita...
29/04/2026

Tunaprint PVC Cards zenye ubora kwa 4500TZS Tu!
_______________________
Ni Imara, Zinadumu muda mrefu na Mwonekano wa kitaalamu
Chapisha Logo, Jina au Taarifa zako na uipe brand yako hadhi ya kipekee.
_________________
Inafaa kwa:
πŸͺͺ ID Cards (Vitambulisho)
πŸ’³ Membership Cards
🎫 Access Cards
🏒 Kampuni & Taasisi
βœ”οΈ Printing ya kitaalamu
βœ”οΈ Rangi kali & zisizofutika
βœ”οΈ Material imara (PVC quality)
βœ”οΈ Ubora wa juu
βœ”οΈ Bei rafiki

Weka Oda yako sasa!!
☎️ 0659 398 888 | 0658 828 716
πŸ“Kinondoni Mkwajuni – Dar es salaam
🚚 Tunadeliver Tanzania nzima

29/04/2026

Tunaprint PVC Cards zenye ubora kwa 4500TZS Tu!
_______________________
Ni Imara, Zinadumu muda mrefu na Mwonekano wa kitaalamu
Chapisha Logo, Jina au Taarifa zako na uipe brand yako hadhi ya kipekee.
_________________
Inafaa kwa:
πŸͺͺ ID Cards (Vitambulisho)
πŸ’³ Membership Cards
🎫 Access Cards
🏒 Kampuni & Taasisi
βœ”οΈ Printing ya kitaalamu
βœ”οΈ Rangi kali & zisizofutika
βœ”οΈ Material imara (PVC quality)
βœ”οΈ Ubora wa juu
βœ”οΈ Bei rafiki

Weka Oda yako sasa!!
☎️ 0659 398 888 | 0658 828 716
πŸ“Kinondoni Mkwajuni – Dar es salaam
🚚 Tunadeliver Tanzania nzima

20/03/2026

Unataka kuonekana… au kupuuzwa?
Roll-Up Banner yako ndiyo first impression ya brand yako kwenye event, shop au office.
Usikubali ionekane kawaida.
Print Roll up banner kwetu upate banner yenye mvuto wa kusimamisha watu na kuwafanya wasome, wakumbuke na wachukue hatua.

🎯 Perfect kwa Exhibitions & Events
🏒 Ofisini & Reception
πŸ“’ Promotions & Campaigns
πŸ›οΈ Madukani kuongeza mauzo
βœ”οΈ Ubora wa juu (print kali & clear)
βœ”οΈ Material imara & inayodumu
βœ”οΈ Design + Printing sehemu moja
βœ”οΈ Bei rafiki
-----------------------------------------------
πŸ“ž 0659 398 888 | 0658 828 716
πŸ“ Mkwajuni, Kinondoni – DSM
🚚 Tunadeliver Tanzania nzima

Tunaprint Desk Calendar (Kalenda za Mezani)Ya kisasa, Inavutia, Inadumu mwaka mzimaChapisha Logo, Jina au Ujumbe wako na...
20/03/2026

Tunaprint Desk Calendar (Kalenda za Mezani)
Ya kisasa, Inavutia, Inadumu mwaka mzima
Chapisha Logo, Jina au Ujumbe wako na uipe brand yako uwepo kila siku kwa wateja wako.
Inafaa kwa:
🎁 Corporate Gifts
πŸ“’ Promotions
🏒 Kampuni & Taasisi
πŸ‘€ Matumizi ya kila siku
_______________________________________
Hatubaatishi tunakupa
βœ”οΈ Printing ya kitaalamu
βœ”οΈ Rangi kali na za kudumu
βœ”οΈ Ubora wa juu
βœ”οΈ Bei rafiki
________________________________________
Wasiliana nasi
☎️ 0659 398 888 | 0658 828 716
πŸ“ Mkwajuni, Kinondoni – DSM
🚚 Tunadeliver Tanzania nzima

20/03/2026

Tunaprint Desk Calendar (Kalenda za Mezani)
Ya kisasa, Inavutia, Inadumu mwaka mzima
Chapisha Logo, Jina au Ujumbe wako na uipe brand yako uwepo kila siku kwa wateja wako.
Inafaa kwa:
🎁 Corporate Gifts
πŸ“’ Promotions
🏒 Kampuni & Taasisi
πŸ‘€ Matumizi ya kila siku
_______________________________________
Hatubaatishi tunakupa
βœ”οΈ Printing ya kitaalamu
βœ”οΈ Rangi kali na za kudumu
βœ”οΈ Ubora wa juu
βœ”οΈ Bei rafiki
________________________________________
Wasiliana nasi
☎️ 0659 398 888 | 0658 828 716
πŸ“ Mkwajuni, Kinondoni – DSM
🚚 Tunadeliver Tanzania nzima

16/03/2026

Fanya Printing Kwetu, Upate Matokeo zaidi ya Matalajio yako.

Tunajivunia kukupa wewe mteja wetu zaidi ya bidhaa 100 za Printing na Branding, zote zikiwa na ubora wa viwango vya juu, uimara wa kudumu na gharama nafuu.

Oneone ni kampuni iliyosajiliwa kisheria ndani ya Tanzania, ikitoa huduma kwa makampuni, biashara, watu binafsi na taasisi mbalimbali.

Tunathamini sana imani yako, na tunakushukuru kwa kuendelea kutuamini na kutumia huduma zetu.

Wewe unastahili kilicho bora!
---
πŸ“ž Wasiliana nasi au fika ofisini kwetu kutoa oda:
☎️ 0659 398 888 | 0658 828 716
πŸ“ Mkwajuni, Kinondoni – Dar es Salaam
🚚 Delivery Tanzania nzima

Oneone β€” Simply Possible!

Address

Near 243 Mkwajuni Road
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Oneone identity posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Oneone identity:

Share