23/02/2020
Umuhimu wa branding kwa mfano huu hapo juu, mfuko wa korosho
☆ inakutofautisha na bidhaa nyingine sokoni.
☆inapugunza gharama za matangazo.
☆ni rahisi kuuuza maana inajiuuza yenyewe.
☆inajitambulisha katikati ya bidhaa nyingi sokoni.
☆inaongeza thamani ya bidhaa yako.
☆biashara ya kuorder inakuwa rahisi zaidi.
☆ugavi na ununuzi wa bidhaa hyo kwenye soko kubwa huwa ni rahisi sana.
☆wafanyabiashara wakubwa na wadogo hupendelea kuuza bidhaa zenye brand ili kuziuza kirahisi.
☆Mtengenezaji(manufacturer) wa bidhaa hyo anaweza kucontrol bei yake na wateja hawawezi kuibiwa maana bei zimekwisha fixied na watengenezaji wenyewe.
☆Husaidia katika program za matangazo (Advertisement) na matandazo (Displays) ya bidhaa.
☆Stability price..
Watengenezaji hujitahidi kuweka bei ambayo haitokuwa inapanda na kushuka mara kwa mara kuliko zile bidhaa zisizo na brand.
Note:
Fanya utafiti sana kabla uja brand bidhaa yako..jua nini wateja wako wanapenda,wanavutiwa na kuhitaji..usipende kuhisi jambo lolote ambalo watakua wanalifikiria ila penda sana kujua nini wanachokifikiria.
Kwa maelezo zaidi tuwasiliane 0754 621629