09/03/2026
📻 Leo Usiku Tunasikika Kiss FM! 🐰🔥
Nitakuwa LIVE nikizungumzia ufugaji wa sungura, fursa za biashara na jinsi ya kuanza kwa mtaji mdogo.
🗓 09 March 2026
⏰ Saa 3:00 Usiku – 5:00 Usiku
📻 98.9 MHz
Karibuni tusikilizane na mjifunze zaidi kuhusu biashara ya sungura.
— Ahmadi Waziri
🐰