Bf suma tanzania

Bf suma tanzania Bf suma tanzania

0754053905 PIGA SIMU HARAKA K**A UNACHANGAMOTO YOYOTE YA UZAZI 📲TATIZO LA UVIMBE KWENYE KIZAZI NA TIBA YAKEFIBROID NI NI...
06/09/2022

0754053905 PIGA SIMU HARAKA K**A UNACHANGAMOTO YOYOTE YA UZAZI 📲TATIZO LA UVIMBE KWENYE KIZAZI NA TIBA YAKE

FIBROID NI NINI?

Siku hizi kuna ongezeko kubwa sana la huu ugonjwa hebu tega sikio.
Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi.

Kuna aina kuuzifuatazo za fibroids:

1.Submucosal fibroids(ndani ya kizazi)
2.intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi)
3. Subserosal(nje ya kizaz)

Watu wafuatao wako hatarini ya kupata ugonjwa huu fibroids

1.Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa
2.miaka kuanzia kubarehe mpaka hedhi kukoma
3.kurithi 4.unene 5.kuingia hedhi mapema

Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida tu ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubarehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini. Na mara nyingi uvimbe huu waga unaongezeka kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto.
Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids au kitaalam leomyoma.

Dalili za fibroids

1.Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi.
2.kutokwa na uchafu wenye kiaharufu mbaya au ambao hauna harufu lkn mwingi na mweupe.
3.maumivi ya kiuno hasa wakati wa hedthi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe..wengi hupata maumivu makali sana.
4.Tumbo kuuma sana chini ya kitovu.
5.hedhi zisizokuwa na mpango
6.maumivu wakati wa tendo la ndoa
7.Kukosa hamu ya tendo la ndoa
8.maumivu makali wakati wa hedhi
Uvimbe unapokua mkubwa unaweza kusababisha dalili zifuatazo.

1.Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo
2.Mkojo kubaki kwenye kibofu cha mkojo
3.Haja kuwa ngumu
4.miguu kuvimba
5.kupungukiwa damu

0754053905/PIGA SIMU  , ,FEMICARE NDIO MKOMBOZI WA MWANAMKE UNASUBIRI NINI💌UCHAFU MWEUPE UKENIKutokwa na uchafu mweupe h...
06/09/2022

0754053905/PIGA SIMU , ,FEMICARE NDIO MKOMBOZI WA MWANAMKE UNASUBIRI NINI💌
UCHAFU MWEUPE UKENI

Kutokwa na uchafu mweupe hasa mwanzoni mwa hedhi au mwishoni mwa hedhi ni jambo la kawaida. Hata hivo k**a uchafu huu unaambatana na muwasho na ni mzito sana k**a maziwa ujue siyo kawaida na inahitaji upate vipimo na tiba hospitali kwani ni kiashiria cha fangasi ukeni.

Uchafu Mwepesi K**a Maji

Uchafu mwepesi k**a maji ni kawaida kabisa. Unaweza kupata uchafu huu muda wowote katika mzunguko wako na hasa baada ya kufanya mazoezi.

Uchafu mwepesi unaovutika

Ukiona uteute mwepesi na unavutika k**a ute wa yai basi ujue upo kwenye ovulation, yaani siku za hatari na yai limepevuka tayari kwa kurutubishwa. Uteute huu ni wa kawaida.

Uchafu wa brown unaoambatana na damudamu.

K**a unapata uteute huu kabla ya hedhi na ulifanya tendo bila kinga basi kuna uwezekano ukawa umeshika mimba. K**a uchafu huu unatoka wakati mimba yako bado ni changa basi yaweza kuashiria kwamba mimba inaharibika unatakiwa kuwahi hospitali haraka.

Kwa kesi chache sana uchafu wa brown wenye damu damu ni kiashiria cha saratani ya shingo ya kizazi ama pia uvimbe kwenye kizazi(fibroids) ama uvimbe mwingine kwenye kizazi. Ndio maana ni muhimu sana kufanya utrasound kucheki hali ya kizazi endapo utaona dalili zisizo za kawaida k**a hizi.

Uchafu Wa njano au kijani
K**a unapata uchafu wa kijani au njano unaoambatana na harufi mbaya siyo jambo la kawaida. Uchafu wa namna hii ni kiashiria kwamba kuna maambukizi ya ugonjwa wa zinaa.PIGA SIMU KWA DOCTOR BEN MKOA WOWOTE ULIOPO NAMBA 0754053905

Uchafu Mweupe UkeniKutokwa na uchafu mweupe hasa mwanzoni mwa hedhi au mwishoni mwa hedhi ni jambo la kawaida. Hata hivo...
06/09/2022

Uchafu Mweupe Ukeni

Kutokwa na uchafu mweupe hasa mwanzoni mwa hedhi au mwishoni mwa hedhi ni jambo la kawaida. Hata hivo k**a uchafu huu unaambatana na muwasho na ni mzito sana k**a maziwa ujue siyo kawaida na inahitaji upate vipimo na tiba hospitali kwani ni kiashiria cha fangasi ukeni.

Uchafu Mwepesi K**a Maji

Uchafu mwepesi k**a maji ni kawaida kabisa. Unaweza kupata uchafu huu muda wowote katika mzunguko wako na hasa baada ya kufanya mazoezi.

Uchafu mwepesi unaovutika

Ukiona uteute mwepesi na unavutika k**a ute wa yai basi ujue upo kwenye ovulation, yaani siku za hatari na yai limepevuka tayari kwa kurutubishwa. Uteute huu ni wa kawaida.

Uchafu wa brown unaoambatana na damudamu.

K**a unapata uteute huu kabla ya hedhi na ulifanya tendo bila kinga basi kuna uwezekano ukawa umeshika mimba. K**a uchafu huu unatoka wakati mimba yako bado ni changa basi yaweza kuashiria kwamba mimba inaharibika unatakiwa kuwahi hospitali haraka.

Kwa kesi chache sana uchafu wa brown wenye damu damu ni kiashiria cha saratani ya shingo ya kizazi ama pia uvimbe kwenye kizazi(fibroids) ama uvimbe mwingine kwenye kizazi. Ndio maana ni muhimu sana kufanya utrasound kucheki hali ya kizazi endapo utaona dalili zisizo za kawaida k**a hizi.

Uchafu Wa njano au kijani
K**a unapata uchafu wa kijani au njano unaoambatana na harufi mbaya siyo jambo la kawaida. Uchafu wa namna hii ni kiashiria kwamba kuna maambukizi ya ugonjwa wa zinaa.PIGA SIMU KWA DOCTOR BEN MKOA WOWOTE ULIOPO NAMBA 0754053905

Address

Bf Suma Tanzania. Com
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255754053905

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bf suma tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Bf suma tanzania:

Share