Dive Talents Training Centre

Dive Talents Training Centre Namba: 0784850300 (Call & Whatsapp)
(1)

Tunatoa mafunzo ya ujuzi wa KUJIAJIRI
📌COMPUTER
📌GRAPHIC DESIGN
📌USUSI
📌MAKE UP
📌USHONAJI
📌DIGITAL MARKETING & AI
Tupo Mbezi Mwisho - Mazulu, Barabara ya kuelekea Goba.

02/10/2026
01/10/2026

Zimebaki siku tatu tu darasa letu la Computer na Graphic Design lianze lianze, Wahi sasa wakati nafasi bado hazijajaa.

Tupigie: 0789943666/ 0784850300 kuwahi nafasi yako.

Tarehe 05/10/2026 Kozi Zetu zote zinaanza Rasmi.Kozi tunazotoa ni hizi:1. Graphic Design. - Hii ni kukujengea uwezo wa k...
29/09/2026

Tarehe 05/10/2026 Kozi Zetu zote zinaanza Rasmi.

Kozi tunazotoa ni hizi:

1. Graphic Design.
- Hii ni kukujengea uwezo wa kuweza kujiajiri na kuajiriwa katika soko la digital content creation pamoja na printing k**a freelancer wa online ama kuajiriwa k**a Graphic Designer wa Full Time katika kampuni na mashirika mbalimbali.

2. Computer Basics.
- Hii ni kukuwezesha wewe ambaye haunui kabisa kutumia computer kwa kukufundisha kuanzia msingi mzima wa computer mpaka kuwa mtumiaji hodari anayeweza kutekeleza majukumu na kutatua changamoto za computer.

3. Secretarial Course.
-Hii ni kozi iliyoandaliwa mahususi ili kuwafundisha vijana namna ya kufanya majukumu ya secretary kwa usahihi ikiwa ni pamoja na kuandaa nyaraka Muhimu za ofisi, kuhifadhi taarifa kisasa na kupiga mahesabu ya kila siku kitaalamu kwa kutumia Teknolojia ya computer.

Tunapatikana:
Mbezi-Goba Road
Kituo cha Mazulu Kanisani.
Simu/ Whatsapp: 0789943666/ 0784850300

4. Ususi.
-Hii ni kozi maalumu kwa wale wanaopenda kuingia katika tasnia ya urembo na kufanya biashara hii au kuajiriwa katika ofisi za urembo k**a Salon, nk.
Katika kozi hii utafundishwa kusuka mitindo yote na utafundishwa jinsi ya kufanya na kusimamia biashara ya salon.

5. Ushonaji
-Hii itawafaa zaidi wale wote wanaohitaji kujiajiri au kuajiriwa katika tasnia ya ubunifu wa mavazi.
Katika kozi hii utafundishwa kuanzia namna ya kutumia cherehani kwa usahihi, kukata vitambaa, kushona na kupanga bei.

Tunapatikana:
Mbezi-Goba Road
Kituo cha Mazulu Kanisani.
Simu/ Whatsapp: 0789943666/ 0784850300

Tuambie ukweli 😅
28/09/2026

Tuambie ukweli 😅

Tarehe 05/10/2026 Kozi Zetu zote zinaanza Rasmi.Kozi tunazotoa ni hizi:1. Graphic Design.   - Hii ni kukujengea uwezo wa...
26/09/2026

Tarehe 05/10/2026 Kozi Zetu zote zinaanza Rasmi.

Kozi tunazotoa ni hizi:

1. Graphic Design.
- Hii ni kukujengea uwezo wa kuweza kujiajiri na kuajiriwa katika soko la digital content creation pamoja na printing k**a freelancer wa online ama kuajiriwa k**a Graphic Designer wa Full Time katika kampuni na mashirika mbalimbali.

2. Computer Basics.
- Hii ni kukuwezesha wewe ambaye haunui kabisa kutumia computer kwa kukufundisha kuanzia msingi mzima wa computer mpaka kuwa mtumiaji hodari anayeweza kutekeleza majukumu na kutatua changamoto za computer.

3. Secretarial Course.
-Hii ni kozi iliyoandaliwa mahususi ili kuwafundisha vijana namna ya kufanya majukumu ya secretary kwa usahihi ikiwa ni pamoja na kuandaa nyaraka Muhimu za ofisi, kuhifadhi taarifa kisasa na kupiga mahesabu ya kila siku kitaalamu kwa kutumia Teknolojia ya computer.

4. Ususi.
-Hii ni kozi maalumu kwa wale wanaopenda kuingia katika tasnia ya urembo na kufanya biashara hii au kuajiriwa katika ofisi za urembo k**a Salon, nk.
Katika kozi hii utafundishwa kusuka mitindo yote na utafundishwa jinsi ya kufanya na kusimamia biashara ya salon.

5. Ushonaji
-Hii itawafaa zaidi wale wote wanaohitaji kujiajiri au kuajiriwa katika tasnia ya ubunifu wa mavazi.
Katika kozi hii utafundishwa kuanzia namna ya kutumia cherehani kwa usahihi, kukata vitambaa, kushona na kupanga bei.

Tunapatikana:
Mbezi-Goba Road
Kituo cha Mazulu Kanisani.
Simu/ Whatsapp: 0789943666/ 0784850300

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dive Talents Training Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share