01/03/2023
Tatizo tunapenda kupitiliza, tunafanya kila kitu ili tu mtu wako afurahi, ndio mana inakua ngumu kuzuia haya maumivu, we do alot and expect alot. Kwanini lakini tunashindwa kuControl hisia zetu, mbona tunaona viashiria vyote lakini kwanini tunashindwa kukubali matokeo, Kweli haya ni mapenzi, hili ni fumbo. This is the game, lazima mmoja tu atashinda acha nikapambane huko kwingine. Kubembeleza huku basi, Maumivu tena Basi