Malismarttz

Malismarttz 🧠 MALI SMART TZ
Tunageuza akili kuwa Mali. πŸ’°
AI β€’ Biashara β€’ Teknolojia
πŸ“š Anza safari yako hapa πŸ‘‡
https://snippe.me/pay/mali-smart-tz

Hivi unajua kuna mtu k**a wewe AI inamsaidia kutengeneza   kila mwezi?Na wewe una AI hiyo hiyo.Tofauti ni maarifa ya kui...
13/08/2026

Hivi unajua kuna mtu k**a wewe AI inamsaidia kutengeneza kila mwezi?

Na wewe una AI hiyo hiyo.

Tofauti ni maarifa ya kuitumia.

K**a hutaki miaka ipite ukiwa bado unauliza β€œAI inaweza kunisaidia nini?”…

anza hapa.

πŸ‘‡ Pata maarifa yote:
πŸ”—https://snippe.me/pay/mali-smart-tz

Tsh 12,250 tu.

Usichelewe kugundua kile ambacho wengine tayari wameanza kutumia.

WAKATI MWENZAKO ANAJIFUNZA KUITUMIA AI, WEWE BADO UNAULIZA AI INAWEZA KUFANYA NINI?Kuna maarifa ambayo ukishayapata, huw...
12/08/2026

WAKATI MWENZAKO ANAJIFUNZA KUITUMIA AI, WEWE BADO UNAULIZA AI INAWEZA KUFANYA NINI?

Kuna maarifa ambayo ukishayapata, huwezi tena kuitazama AI kwa macho yale yale.

Utajua kwa nini wengine wanapata matokeo ya kushangaza...

wakati wewe unaandika prompt mara 10 na bado hupati ulichokuwa unataka.

Na jambo la hatari zaidi?

Huenda unatumia sehemu ndogo sana ya uwezo ulio nao mikononi mwako.

Kuna kitu tumeandaa kwa ajili yako.

Kitu ambacho kinaweza kubadilisha kabisa namna unavyofikiria kuhusu AI, content, biashara na fursa zinazokuja.

Usikimbilie kupita.

Jua kwanza kile ambacho hujui.

BOFYA Link kwenye au Tuma neno Maarifa kwenda Whatsapp Namba 0676530475

07/08/2026

Watu wengi wanatumia AI vibaya...

Wanaandika tu:

"Fanya video nzuri."

"Fanya picha kali."

"Nisaidie biashara yangu."

Halafu wakipata matokeo ya kawaida wanasema:

"AI haijawa vizuri."

Lakini ukweli ni huu...

Tatizo sio AI.

Tatizo ni namna unavyoizungumza.

AI haiwezi kusoma mawazo yako.

Inahitaji maelekezo sahihi.

Na hapo ndipo siri ya inapokuja.

Prompt sahihi ndiyo tofauti kati ya matokeo ya kawaida na matokeo yanayoshangaza.

Tumekusogezea maarifa ya kukusaidia kuanza kutumia AI kwa kiwango kingine.

K**a umechoka kubahatisha na AI...

Anza kujifunza kuitumia kwa usahihi.

πŸ“– Pata eBook hapa:
https://snippe.me/pay/mali-smart-tz


Usishangazwe na AI. Jifunze kuitumia.

Baada ya kusoma eBook hii, hutaiangalia AI k**a chatbot tena. Utaanza kuiangalia k**a mfanyakazi ambaye hajawahi kuomba ...
06/08/2026

Baada ya kusoma eBook hii, hutaiangalia AI k**a chatbot tena. Utaanza kuiangalia k**a mfanyakazi ambaye hajawahi kuomba mshahara.

Download hapa sasa https://snippe.me/pay/mali-smart-tz

Lakini wengi hawajui siri moja...AI haiwezi kujua unachofikiria.Inahitaji maelekezo sahihi ili kutoa matokeo makubwa.Na ...
06/08/2026

Lakini wengi hawajui siri moja...

AI haiwezi kujua unachofikiria.
Inahitaji maelekezo sahihi ili kutoa matokeo makubwa.

Na hayo maelekezo ndiyo yanaitwa...

.

Prompt sahihi inaweza kubadilisha wazo la kawaida kuwa picha, content au concept yenye mvuto mkubwa.

Hii ndiyo tofauti kati ya mtu anayeshangaa uwezo wa AI...

Na mtu anayeitumia kujenga, kuuza na kuunda.

πŸ”₯ Unataka kujua prompt iliyotumika kutengeneza vitu k**a hivi?

Tuma neno PROMPT WhatsApp 0676530475

πŸ“˜ Pia unaweza kuingia ndani zaidi kupitia MALI Smart TZ AI Business Ebook mwongozo wa kutumia AI na prompts kwa biashara, content creation na ubunifu.

πŸ‘‰ Pata ebook yako kupitia link https://snippe.me/pay/mali-smart-tz

MALI Smart TZ Usishangazwe na AI. Jifunze kuitumia.

05/08/2026

Kuna kitu kimoja kitakachowatenganisha watu miaka ijayo...

Sio kuwa na simu nzuri.

Sio kuwa na internet.

Sio hata kuwa na pesa nyingi.

Ni uwezo wa kutumia teknolojia iliyopo mikononi mwao.

Leo kuna watu wanaona AI k**a tishio.

Lakini kuna wengine tayari wanaiona k**a msaidizi wao wa kufanya kazi haraka, kujifunza zaidi na kukuza biashara zao.

Tofauti yao?

Mmoja aliogopa mabadiliko.

Mwingine aliamua kujifunza.

AI sio kwa watu wa teknolojia pekee.

Ni kwa mfanyabiashara, mwanafunzi, creator na kila mtu anayetamani kufanya zaidi kwa muda mfupi.

Swali ni moja tu...

Utaangalia mabadiliko yakitokea, au utakuwa sehemu ya mabadiliko hayo?

πŸ€– Karibu MALI Smart TZ Malismarttz tunakusaidia kuelewa na kutumia nguvu ya AI.

Karibu Mali Smart TZ Kuna vitu vitatu vinavyobadilisha maisha ya mtu:πŸ“š Maarifa.πŸ’‘ Teknolojia.πŸš€ Utekelezaji.Na ndiyo sabab...
28/07/2026

Karibu Mali Smart TZ

Kuna vitu vitatu vinavyobadilisha maisha ya mtu:

πŸ“š Maarifa.
πŸ’‘ Teknolojia.
πŸš€ Utekelezaji.

Na ndiyo sababu Malismarttz imeanzishwa.

Hapa hutapata content za kupoteza muda.

Utapata maarifa ya vitendo kuhusu:

βœ… AI
βœ… Biashara
βœ… Digital Marketing
βœ… Branding
βœ… Sales
βœ… Productivity
βœ… Smart Business Systems

Lengo letu ni moja...

Kukusaidia kutumia maarifa na teknolojia kujenga biashara bora na kuongeza kipato.

Ukipenda kujifunza vitu vinavyobadilisha maisha, basi umefika mahali sahihi.

Follow Mali Smart Tz na uanze safari yako leo.



Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Malismarttz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Malismarttz:

Shortcuts

Share