08/06/2026
Tupo katika maandalizi ya kuandaa content, lakini .....
... maandalizi haya hayajaanza kwa kuangalia bidhaa pekee.
Yameanza kwa kuangalia mfumo wa mteja na kuelewa ni nini kinachomsukuma kufanya maamuzi ya kununua.
Kwa sababu watu wengi hawanunui kwa sababu bidhaa ipo, wananunua kwa sababu content imewasaidia kuona thamani, kuondoa mashaka, na kuwapa sababu ya kuchukua hatua.
Ndiyo maana tumeandaa mfumo wa content uliofungashwa kikamilifu (full packaged content system) ambao unaongoza safari ya mteja kutoka kuona bidhaa, kuelewa faida zake, kuijenga imani, hadi kufikia hatua ya kufanya maamuzi ya kununua.
Content nzuri si ya kuvutia macho tu, bali ni content inayobadilisha mtazamaji kuwa mnunuzi.
Je, content za biashara yako zimejengwa kwa mfumo unaomsukuma mteja kufanya maamuzi ya kununua, au zinaishia kupata views na likes pekee?