MobiAd

MobiAd Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MobiAd, Advertising/Marketing, Tanzanite Park, Victoria Dar es Salaam, Dar es Salaam.

A creative and innovative solution for businesses to redefine ways to communicate their brands
We are a Digital marketing Masterclass

Tunakusaidia wewe pamoja na Biashara yako Kujitangaza kwa njia ya kipekee na ya kibunifu zaidi

Katika kuadhimisha siku ya kumbukizi ya Hayati Abed A. Karume, tuendeleze Amani, Upendo na ushirikiano.Tanzania🇹🇿
07/04/2021

Katika kuadhimisha siku ya kumbukizi ya Hayati Abed A. Karume, tuendeleze Amani, Upendo na ushirikiano.

Tanzania🇹🇿

MobiAd Africa wishes everyone a very Happy Easter
04/04/2021

MobiAd Africa wishes everyone a very Happy Easter



Okay Mwanzo ulisema gharama ni kubwa 😅 Sasa tumepunguzaKwa shilingi 15,000 tu mwezi mzima, hakunaGharama za kutengeneza ...
02/04/2021

Okay Mwanzo ulisema gharama ni kubwa 😅 Sasa tumepunguza
Kwa shilingi 15,000 tu mwezi mzima, hakuna
Gharama za kutengeneza muito/Audio yaani unapata Audio ya Tangazo Bureeee

Unasubiri nini kujiunga? Tembelea www.mobiad.co.tz
Jisajili na kufanya malipo nasi tutakuhudumia
Kumbuka, tunatoa huduma kwa mitandao yote mitatu Tigo Tanzania✅
Vodacom Tanzania
Airtel Tanzania

Tunatoa pongezi kwa DR PHILIP MPANGO kwa kuteuliwa kua Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungani wa Tanzania.Tanzania ina i...
30/03/2021

Tunatoa pongezi kwa DR PHILIP MPANGO kwa kuteuliwa kua Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungani wa Tanzania.

Tanzania ina imani nawe🇹🇿

Haijawahi kua rahisi hivi!Kwa shilingi 15,000 tu mwezi mzima unatangaza kupitia MobiAd, na kikubwa zaidi unapata Audio y...
29/03/2021

Haijawahi kua rahisi hivi!
Kwa shilingi 15,000 tu mwezi mzima unatangaza kupitia MobiAd, na kikubwa zaidi unapata Audio ya tangazo bureeee kabisa.
Unasubiri nini, tembelea www.mobiad.co.tz kujiunga, jaza taarifa zako na ukamilishe usajili kwakufanya malipo moja kwa moja nasi tutakuhudumia.

Kwa Maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kwa namba 0768 418418.
Tangaza biashara yako na MobiAd, Lets Go!


19/03/2021

Ijumaa ya leo, tungependa kukueleza wewe Mtanzania uliye na biashara yako na ungependa kufanya mazuri kwaajili ya biashara yako. Si unajua kuna maajabu saba ya dunia? sasa leo tunakuletea ajabu la nane😃 mahsus kwaajili ya kukusaidia wewe mfanyabiashara.

Jambo hili la ajabu linakusaidia wewe mfanyabiashara kutangaza biashara yako kwa kila mtu anaekupigia simu yako ya mkononi, fikiria kila anaekupigia simu anakua mteja wako, Ajabu kweli kweli😲
Kujiunga tembelea www.mobiad.co.tz ujaze taarifa zako na kufanya malipo, kwa shilingi 15,000 tu mwezi mzima huku ukijipatia Audio ya tangazo lako bureeeee!
Kwamsaada zaidi wasiliana nasi 0768 418418



We are deeply shocked and saddened by the death of our beloved President, Hon: Dr John Pombe Magufuli.May his sould rest...
18/03/2021

We are deeply shocked and saddened by the death of our beloved President, Hon: Dr John Pombe Magufuli.

May his sould rest in eternal peace,Amen🙏🏼
💔🇹🇿

Happy 57th Revolution Day Zanzibar   #2021  🇹🇿
12/01/2021

Happy 57th Revolution Day Zanzibar


#2021 🇹🇿

What a year it has been, We are here because of you our esteemed client.We thank you for your tremendous support through...
01/01/2021

What a year it has been, We are here because of you our esteemed client.
We thank you for your tremendous support through out 2020, we wish you a happy new year may 2021 be bigger and better🥂




25/12/2020

Its everyone’s favorite time of the year😃
We wish you and your loved ones a Merry Christmas and a joyful New year.
Enjoy🥂



13/12/2020

Unajua kuwa unaweza kutumia simu yako kwa ajili ya kutangaza biashara yako? Mobiad Caller Tunes inakupa huduma ya kujitangaza kila unapopigiwa simu. Akikupigia, ataskia kuhusu biashara yako na wapi office yako ilipo. Yaani unampa uhakika kuwa hapo ndio amefika💪 Jitofautishe! Tupigie 0768418418

"No nation has the right to make decisions for another nation; no people for another people." -Julius Kambarage Nyerere ...
09/12/2020

"No nation has the right to make decisions for another nation; no people for another people." -Julius Kambarage Nyerere 1968
Happy independence day to all Tanzanians🇹🇿


🇹🇿

#1968

Address

Tanzanite Park, Victoria Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MobiAd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MobiAd:

Share