24/10/2024
Unataka video na picha zako ziwe na mwanga bora zaidi? Tumia Ring Light yenye ubora wa hali ya juu kwa matumizi ya binafsi au ya kiofisi!
📸 Sifa za Ring Light:
- Inapatikana kwa ukubwa tofauti (10", 12", 14", 18", na 21").
- Mwanga mzuri na unaoweza kubadilika kutegemeana na uhitaji wako.
- Inakuja na remote yake.
- Inakuwa stendi yake (Adjustable tripod stand) unayoweza kurefusha au kufupisha kutegemeana na uhitaji wako.
- Inafaa kwa Mapambo, YouTube, selfies, kutengeneza maudhui, mikutano ya video na mengine mengi.
Bei zake
Inch 10 Tsh 45,000/=
Inch 12 Tsh 65,000/=
Inch 14 Tsh 145,000/=
Inch 18 Tsh 195,000/=
Inch 21 Tsh 230,000/=
BONUS: Delivery ni popote ulipo Tanzania na kwa walio Dar es salaam utalipia baada ya kupokea Ring light yako.
Uaminifu kipao mbele!
Wahi sasa na uweke oda yako kupitia namba (Simu/WhatsApp 0752026992)
Usipitwe na hii, mtandaoni biashara yako ni muhimu kuiwekezea.