ATER Enterprise

ATER Enterprise �Ni sehemu pekee sahihi kwaajili ya KUTUMA MAOMBI YA VYUO na Kwa gharama nafuu sana.
�VYETI VYA KUZAL

KUHUSU MIKOPO YA ELIMU YA JUU NCHINI TANZANIA 1. Dirilisha na mikopo kufunguliwa kabla ya tarehe 15 julai, 20222. Mwongo...
12/07/2022

KUHUSU MIKOPO YA ELIMU YA JUU NCHINI TANZANIA

1. Dirilisha na mikopo kufunguliwa kabla ya tarehe 15 julai, 2022

2. Mwongozo wa utoaji Mikopo wa mwaka 2022/2022 utapatikana kuanzia tarehe 15 julai, 2022.

3. *Wanafunzi waliomaliza Diploma na waliomaliza kidato cha sita na wale waliokosa mwaka jana na wanaona wana sifa* waanze kuhakiki vyeti vyao kwenye mamlaka husika.

Mfano wa vyeti vya kuhakiki ni
A. Wale waliofadhiliwa na mtu binafsi, Taasisi za umma, mashirina ya Dini na ufadhili wowote WAAMBATANISHE Barua ya ufadhili wao na zisaniwe na mamlaka husika.
B. Cheti Cha kuzaliwa, kinahakikiwa na RITA

C. Cheti Cha ulemavu wa mwanafunzi au wa mzazi kwa DMO au RMO

D. Cheti Cha kifo cha Baba au mama....RITA wanahakiki.

AIDHA, tunawaomba wanafunzi kuanza kuhakiki vyeti vyao vyoote watakavyoambatanisha katika mamlaka husika na baada ya Dirisha kufunguliwa kila mwanafunzi aweze kuomba Mkopo kwa muda sahihi.

ATER ENTERPRISE
0679926045
https://wa.me/message/HCD7Z2GEA6BQB1

ATER ENTERPRISE ni __!!!?????🙄📎Ni sehemu pekee sahihi kwaajili ya KUTUMA MAOMBI YA VYUO na Kwa gharama nafuu sana.📎Kutum...
10/07/2022

ATER ENTERPRISE ni __!!!?????🙄
📎Ni sehemu pekee sahihi kwaajili ya KUTUMA MAOMBI YA VYUO na Kwa gharama nafuu sana.

📎Kutuma VYETI VYA KUZALIWA NA KIFO Kwaajili ya UHAKIKI RITA kabla havijatumika kwenye kuombea MKOPO

📎 Tunafanya Application za MIKOPO kwa uhakika na bei nafuu kabisa.

+TUNATOA USHAURI JUU YA KOZI ZA KWENDA KUSOMA VYUONI LAKINI PIA TUNASAIDIA KUJIBU MASWALI YAKO YOTE JUU YA MAISHA YA CHUO KWA UJUMLA WAKE

☺️KARIBU SANA

Message ATER ENTERPRISES on WhatsApp. https://wa.me/message/HCD7Z2GEA6BQB1

Address

University Of Dar Es Salaam (MLIMANI CAMPUS)
Dar Es Salaam

Telephone

+255679926045

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ATER Enterprise posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to ATER Enterprise:

Share