DR HOSEA TECH

DR HOSEA TECH Dr Hosea ni mtaalamu wa Digital Marketing anayesaidia biashara kukua kupitia Meta Ads (Facebook & IG.

10/09/2026
07/09/2026

Re creat content

Trust the Process
we go At... ofsini

Booking Available 0685040584

05/09/2026

content is Awesome 😎

Trust the Process
we go At.....content creation

16/06/2026

Ads setup πŸ’₯

Setup nzuri ndio mwanzo mzuri wa Mauzo Unapofanya matangazo ya kulipia...

Nitumie ujumbe Whatsapp Sasa...
Nikufanyie setup nzuri na Matokeo ya uhakika

☎️0685040584

16/06/2026

MAMBO 5 YA KUJUA KABLA YA KURUSHA MATANGAZO YA INSTAGRAM NA FACEBOOK**

Watu wengi hupoteza pesa kwenye matangazo ya Facebook na Instagram si kwa sababu hayafanyi kazi, bali kwa sababu hawajui mambo muhimu kabla ya kuanza.

Kabla ya kubonyeza **"Boost Post"** au kuanzisha campaign yoyote, hakikisha umeelewa:

πŸ”˜ Lengo la tangazo lako ni nini
πŸ”˜ Unawalenga watu sahihi
πŸ”˜ Una offer inayovutia
πŸ”˜ Umetengeneza creative bora (picha/video na copy)
Unapima na kuboresha matokeo ya kampeni yako

Ukifanya haya kwa usahihi, utaongeza nafasi ya kupata wateja wengi zaidi huku ukipunguza gharama za matangazo.

πŸ“ˆ Tangazo bora si lile lenye bajeti kubwa, bali lile lenye mkakati sahihi.

πŸ“² Unahitaji msaada wa kusetup au kusimamia matangazo yako ya Facebook na Instagram?

**Wasiliana nasi sasa:**
πŸ“ž **0685040584**

BiasharaMtandaoni DrHoseaTech

11/06/2026

Unapoposti bidhaa Yako weka pia na Bei .....

Yake ni kiasi Gani ..

☎️ 0685040584

08/06/2026

Keep Posting/Endelea Kuposti

☎️0685040584

07/06/2026

Ukitumia maneno Sahihi Yanavuta wateja Sana....

Na hii ndo Siri ambayo wanaitumia Washindani wako...

Kwenye matangazo Yao......

K**a Bado haujui namna Nzuri ya kuandika Ujumbe Unaouza..

Nitumie ujumbe Whatsapp Sasa hivi ☎️ 0685040584

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DR HOSEA TECH posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share