DP Promotions

DP Promotions DP Promotions is a professional marketing company providing graphic design and web applications services to individuals and SME's

13/07/2026

Stand Out Before They Walk In!

Bango la A-Frame ni njia rahisi na yenye nguvu ya kuwavuta wateja kwenye biashara yako.

DP Promotions Limited – Your Branding Partner.

✔ Custom A-Frames
✔ Indoor & Outdoor Signage
✔ Premium Quality & Affordable Prices

📍 Tabata Maji Chumvi Dar es Salaam,
📞 0711800400/0673800400

15/06/2026

Shell stage in progress💯
All the way to Arusha

Website yetu si ya kuangalia tu — ni mlango wa kufanya brand yako isimame tofauti. Tembelea www.dppromotions.co.tz na ug...
09/06/2026

Website yetu si ya kuangalia tu — ni mlango wa kufanya brand yako isimame tofauti.

Tembelea www.dppromotions.co.tz na ugundue mambo 8 unayoweza kufanya papo hapo. Kuangalia huduma zetu zote, kuona bei za bidhaa moja kwa moja, kupata quotation ya bure, kutazama portfolio ya kazi za wateja 400+, hadi kuweka order kupitia portal yetu salama.

Design, print, brand, produce — kila kitu chini ya paa moja.

Tunakuandaa kusimama tofauti.

Tuambie project yako leo. Tunakupa quotation bila malipo — Dar es Salaam na Afrika Mashariki.

Like, share na save chapisho hili, kisha tuambie kwenye comment unachohitaji.

Dar es Salaam: +255 711 800 400 / +255 673 800 400
www.dppromotions.co.tz

16/05/2026

Wakati ndio huu maboss zangu.
📞0711800400/0673800400
📍Tabata Maji Chumvi -Dar es salaam

14/05/2026

Mteja akiingia kwenye office isiyo na muonekano wa kitaalamu, isiyo na signage, wall branding, reception nzuri au identity ya brand yako — anaanza kukuamini kwa shida hata kabla hujaongea naye.
Tupigie sasa: 0711800400/0673800400
Tunapatikana: Tabata kisukuru au Maji Chumvi Dar es salaam

Tunawaheshimu wale wanaojituma kila siku bila kukata tamaa.Tupigie: 0711800400/0673800400.Tunapatikana: Tabata kisukuru-...
01/05/2026

Tunawaheshimu wale wanaojituma kila siku bila kukata tamaa.
Tupigie: 0711800400/0673800400.
Tunapatikana: Tabata kisukuru-Dar es salaam.

29/04/2026

T-shirt zenye embroidery ni chaguo sahihi kwa biashara au taasisi inayojali mwonekano wa kitaalamu na uimara wa bidhaa. Embroidery haifutiki kirahisi k**a print, hivyo brand yako inaendelea kuonekana safi na yenye hadhi kwa muda mrefu.

Tunapatikana kwa huduma bora za kubuni na kushona embroidery kwa ubora wa hali ya juu.

📍 Tabata kisukuru-Dar es salaam.
📞 Wasiliana nasi: 0711800400/0673800400
📧 Email: [email protected]
Chagua ubora, chagua kudumu—chagua embroidery.

28/04/2026

Chapa ubora, vaa utofauti. Tunajali quality kwanza—hapo ndipo utofauti wetu ulipo. Screenprinting inayodumu na kuvutia, agiza sasa!
📍 Tabata kisukuru-Dar es salaam
📞 Wasiliana nasi leo kupata huduma bora kwa bei nafuu
0711800400/0673800400

Happy Union Day 🇹🇿Muungano wetu ni msingi wa nguvu, mshik**ano na maendeleo ya taifa letu.Tunaendelea kujenga kesho bora...
26/04/2026

Happy Union Day 🇹🇿

Muungano wetu ni msingi wa nguvu, mshik**ano na maendeleo ya taifa letu.
Tunaendelea kujenga kesho bora kwa pamoja.
DP Promotions Limited – Promoting You To Lead.
Tupigie: 0711800400/0673800400
Tunapatikana: Tabata kisukuru-Dar es salaam

Address

Ubungo
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DP Promotions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share