Jenga tabasamu

Jenga tabasamu TUNAWASAIDIA WATU WOTE WENYE CHANGAMOTO YA MENO NA KINYWA KUTOA HARUFU MBAYA WANAPOONGEA

Changamoto za Uzazi Zimekua Zikiongezeka Kadri siku zinavyo Zidi kwenda na Kitendawili Huja juu ya namna ya kutatua Chan...
20/10/2022

Changamoto za Uzazi Zimekua Zikiongezeka Kadri siku zinavyo Zidi kwenda na Kitendawili Huja juu ya namna ya kutatua Changamoto hizo. Wanawake Wengi Hutumia njia Mbalimbali Kutatua Changamoto hii Bila Mafanikio.
Katika huduma Zetu za kuwasasaidia Wanawake Wenye Changamoto Za Uzazi huwa Tuna Njia kadhaa Tunazo zitumia Kuweza Kuwasaidia wanawake hawa na moja katika Ya Njia Hizo ni kua
Tuna Shauri Mwanamke Mwenye Changamoto za uzazi afike katika Clinic Zetu kisha ataanza kwa kufanya Vipimo Vya Mwili Mzima (Fullbody Checkup) kwa Tsh 20,000/= tu

Baada ya Hapo Inakua Rahisi Sana Kwetu Kuweza Kujua Tatizo lako lina sababishwa na nini na Inakua Rahisi Kwetu Kuweza Kuona Namna Ya kumsaidia.

Baada ya Kugundua Tatizo nini, Tunafanya Matibabu Kwa Njia Ya TIBALISHE Yaani Dawa Asilia Zisizo na Kemikali.

K**a Unachangamoto ya Uzazi na Unahitaji Kusaidiwa na Sisi katika Hilo Basi karibu Sana na Uanze Kufanya Vipimo vya Mwili Mzima Kwanza
Tunapatikana

🕐Dar es salaam 🕐Morogoro
🕐Dodoma 🕐Tanga
🕐Mwanza 🕐Arusha
🕐Moshi. 🕐Kahama
🕐Singida 🕐Bukoba
🕐Kigoma 🕐Zanzibar
🕐Masasi 🕐Mbeya
🕐Iringa 🕐Kibaha
🕐Kisarawe 🕐Ifakara

📌Tafadhali Tupigie Kwa Namba

📞📲 0686434405
0767879868

Au wasiliana na Doctor Kwa njia ya WhatsApp Kwa Kugusa Hapa Chini

https://wa.me/message/3GKFPICWLC5AI1

Tunawasaidia Wanawake na wanaume Wenye Changamoto Za Uzazi  k**aTezi dume,ukosefu wa mbegu za kiume,pid,hormone imbalanc...
04/03/2022

Tunawasaidia Wanawake na wanaume Wenye Changamoto Za Uzazi k**a
Tezi dume,ukosefu wa mbegu za kiume,pid,hormone imbalance n.k Kwa Njia Ya Ushauri, Vipimo Na Matibabu Kwa Tibalishe.

Tunatoa Huduma Ya Vipimo,ushauri na matibabu

Tupigie Kwa Namba
0779684250

Au Wasiliana na Doctor kwa Kugusa Link Hapa Chini https://wa.me/message/NGTEAMI7TLATK1

03/02/2022

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jenga tabasamu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share