Dee Tech

Dee Tech When you come you will not regret it.

13/05/2026

*Asante Mungu 🤍💍
Harusi yetu imefanyika salama na kwa mafanikio makubwa kutokana na upendo, dua/sala na support kubwa kutoka kwenu 🥹❤️*

*Kwa kila aliyesimama nasi kwa namna yoyote — uwepo, mchango, ushauri na maombi — tunawashukuru sana kutoka ndani ya mioyo yetu. Mmeifanya siku yetu kuwa ya kipekee na ya kukumbukwa milele ✨🙏*

*Tunawaombea baraka, afya njema na mafanikio katika maisha yenu. Thank you for making our wedding unforgettable 🤍💫 *

Address

Goms
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dee Tech posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share