DJ Zack 255

DJ Zack 255 Advertisings ,entertainment &news.

Wachezaji wanaowania Tuzo ya ๐๐ˆ๐‚ ๐๐‹๐€๐˜๐„๐‘ ๐Ž๐… ๐“๐‡๐„ ๐Œ๐Ž๐๐“๐‡ kwa Mwezi Novemba. ๐Š๐ก๐š๐ฅ๐ข๐ ๐€๐ฎ๐œ๐ก๐จ๐๐š๐œ๐จ๐ฆ๐ž ๐™๐จ๐ฎ๐™๐จ๐ฎ๐š๐‚๐ฅ๐ž๐ฆ๐ž๐ง๐ญ ๐Œ๐ณ๐ข๐ณ๐žMwananchi...
29/11/2023

Wachezaji wanaowania Tuzo ya ๐๐ˆ๐‚ ๐๐‹๐€๐˜๐„๐‘ ๐Ž๐… ๐“๐‡๐„ ๐Œ๐Ž๐๐“๐‡ kwa Mwezi Novemba.

๐Š๐ก๐š๐ฅ๐ข๐ ๐€๐ฎ๐œ๐ก๐จ
๐๐š๐œ๐จ๐ฆ๐ž ๐™๐จ๐ฎ๐™๐จ๐ฎ๐š
๐‚๐ฅ๐ž๐ฆ๐ž๐ง๐ญ ๐Œ๐ณ๐ข๐ณ๐ž

Mwananchi piga ๐Š๐”๐‘๐€ yako sasa kupitia Yanga SC APP๐Ÿ“ฒ



updates

  Watu 13 wamefariki dunia na wengine 36 wakijeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Ally's Star lililokuwa likitoka Dar es...
29/11/2023

Watu 13 wamefariki dunia na wengine 36 wakijeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Ally's Star lililokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda Mwanza kugonga treni ya mizigo katika makutano ya barabara na reli maeneo ya Manyoni mkoani Singida.

Mganga Mkuu wa Hospitali ya wilaya ya Manyoni, Dkt. Furaha, amethibitisha taarifa hizo na kwamba majeruhi wa ajali hiyo wanapatiwa matibabu katika Hospitali za Itigi Mission na Hospitali ya wilaya ya Manyoni.

Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo Novemba 29, 2023.

  KOCHA MPYA SIMBA ATOA KAULI NZITO | HATOMWANGALIA CHAMA WALA KIBU,YANGA BACCA DAY WAKINUKISHA
29/11/2023

KOCHA MPYA SIMBA ATOA KAULI NZITO | HATOMWANGALIA CHAMA WALA KIBU,YANGA BACCA DAY WAKINUKISHA

29/11/2023

Mtoto mwenye umri wa miaka 14 aliyefahamika kwa jina la Aneth Kemileme mkazi wa Kijiji cha Kibale kata ya Bwendangabo wilaya ya Bukoba mkoani Kagera amefariki baada ya kuzama kwenye mto wakati akitafuta Senene

Wakizungumza na wananchi waliokuwa eneo la tukio wamesema kuwa Aneth kabla ya kuzama kwenye mto alikuwa anatoka kwenye masomo ya kujiandaa kwa ajili ya kujiunga kidato cha kwanza shule ya Sekondari Kalema wakiwa njiani akiwa na rafiki yake ndipo walianza kutafuta Senene nyikani.

"Mtoto alitoka nyumbani asubuhi kwenda shuleni na sisi tukawa tumeenda kwenye majukumu mengine taarifa za kuzama kwenye maji tulizipata mida ya saa 10 tukaja hapa tukaanza kuangaika na wenzetu lakini hatukupata mwili wa mtoto huyo japo kuna mda tuliuona ukielea kwenye maji na kupotea", Amesema baba mzazi wa Aneth.

Jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa Kagera wamesema kuwa bado wanaendelea na juhudi za kuuopoa mwili wa Aneth.
Zack255

Hiki hapa kikosi cha Simba Sports Club kitakachoanza dhidi ya  El merekh ya Sudani kwenye mchezo wa klabu bingwa Africa
16/03/2021

Hiki hapa kikosi cha Simba Sports Club kitakachoanza dhidi ya El merekh ya Sudani kwenye mchezo wa klabu bingwa Africa

https://youtu.be/C_zurohDtPwNimekuandalia nyimbo za old bongo flavour bonyeza link hio kusikiliza na kui downloadPia waw...
20/02/2021

https://youtu.be/C_zurohDtPw
Nimekuandalia nyimbo za old bongo flavour bonyeza link hio kusikiliza na kui download
Pia waweza subscribe kwa kupata updates mbalimbali kwakubonyeza kitufe cha alama nyekundu.

OLD BONGO FLAVOUR SPECIAL SONG

NANDY ASHINDA TUNZO ZA MSANII BORA WAKIKE  ZA AEUSA ZINAZOFANYIKA HUKO MAREKANI KILA MWAKA
20/12/2020

NANDY ASHINDA TUNZO ZA MSANII BORA WAKIKE ZA AEUSA ZINAZOFANYIKA HUKO MAREKANI KILA MWAKA

DIAMOND PLATINUMZ ASHINDA TUZO YA AEUSA INAYOFANYIKA HUKO MAREKANI YA MSANII BORA WA KIUME AFRICA AKIMSHINDA DAVIDO BURN...
20/12/2020

DIAMOND PLATINUMZ ASHINDA TUZO YA AEUSA INAYOFANYIKA HUKO MAREKANI YA MSANII BORA WA KIUME AFRICA AKIMSHINDA DAVIDO BURNER BOY WIZKID FALL IPUPA STONE BOY NA MUSTAFA.

RAYVAN aka Vivanboy ashinda tuzo AEAUSA best male artist EAST/SOUTH/NORTH AFRICA.Hongera kwake.
20/12/2020

RAYVAN aka Vivanboy ashinda tuzo AEAUSA best male artist EAST/SOUTH/NORTH AFRICA.Hongera kwake.

K A H A M A ARE YOU READYYYY......NI NDANI YA ZE FOX 26/12/2020 SIKU YA BOXING DAY NI DJ OMMY CRAZY ATAKUWA AKIKUPA BURU...
17/12/2020

K A H A M A ARE YOU READYYYY......
NI NDANI YA ZE FOX 26/12/2020 SIKU YA BOXING DAY NI DJ OMMY CRAZY ATAKUWA AKIKUPA BURUDANI ZOTE MWANZO MWISHO
NO CRAZY NO VIBE DONT MISS IT.

MPIRA NI MAPUNZIKOCOASTAL UNION 0SIMBA 5
21/11/2020

MPIRA NI MAPUNZIKO
COASTAL UNION 0
SIMBA 5

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DJ Zack 255 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share