31/07/2024
Kila brand inastahili jina na muonekano mzuri wa mradi wake sokoni🌱
Muonekano hujengwa na
✓Jina zuri la mradi
✓Logo inayotambulisha mradi husika
✓Rangi zinazoleta hisia za mradi husika
✓Kauli mbiu makini
Yote hayo yatakusaidia kuwa na jina na muonekano mzuri sokoni.