Idodoe Web Design

Idodoe Web Design Web Designer Since 2005. Founded by Basil Lyayuka. +255 714 000 009.

05/09/2025
Ubaya Ubwela. Tunamalizia supu wakati coaster yetu inatusubiri. Sponsored by Idodoe Web Design. Simba SC Tanzania
03/08/2024

Ubaya Ubwela. Tunamalizia supu wakati coaster yetu inatusubiri. Sponsored by Idodoe Web Design. Simba SC Tanzania

06/03/2024

Rest Easy Mshua. Nasikitika kutangaza kifo cha Baba yangu. Pumzika kwa Amani Baba. +255 714 000 009 namba yangu.

Web Designer Since 2005. Founded by Basil Lyayuka. +255 714 000 009.

🚍Arusha 2 Dar😊Idodoe Web Design (Website Design) tutaendelea kuandamana. Wengine wataanza jioni wengine wataanza Usiku🤣
08/10/2023

🚍Arusha 2 Dar😊

Idodoe Web Design (Website Design) tutaendelea kuandamana. Wengine wataanza jioni wengine wataanza Usiku🤣

Zungusha hela nyingi Benki mpaka ikukumbuke siku yako ya kuzaliwa k**a hivi🤣.  Premier Customer. Benki sio kwa kupanga f...
20/12/2022

Zungusha hela nyingi Benki mpaka ikukumbuke siku yako ya kuzaliwa k**a hivi🤣. Premier Customer. Benki sio kwa kupanga foleni huku umesimama. Ni unahudumiwa kifalme umekaa, unakunywa Cappuccino au ukisoma huku ukiangalia TV alafu wale chawa wapo kwenye kochi wanajiachia pia. Tuendelee kimbiza ndoto zetu na sala. Ahsanteni wote kwa Birthday wishes 🙏 Idodoe Web Design to the World 👨‍💻.

Happy birthday to me 🎂. Leo nita share kidogo safari yangu ya Web Design, nilianza tengeneza bure websites 2005 ila baad...
19/12/2022

Happy birthday to me 🎂. Leo nita share kidogo safari yangu ya Web Design, nilianza tengeneza bure websites 2005 ila baadae niliamua fanya kwa faida. Kipindi najitafuta ilikuwa kazi ikija sitaji bei ni ninaifanya kwa njaa zote huku nikilala muda mchache kila siku kisha namwacha mteja mwenyewe anitunuku. Sasa ile kazi ya kwanza nilifanya zaidi ya mwezi. Nilitegemea Milioni ila mteja akatoa elfu sabini. Ukijumlisha changamoto nyingine nilizopata kupata wateja unaenda kwa mtu au kampuni wanakuambia watakuita hawakuiti. Sio kwamba wamepata mwingine hapana hawaiti yeyote. Nikachukia kutengenezea wateja websites nikaanza tengeneza mfumo wangu kuuza mziki pitia Website. Mfumo wa kwanza bora kuuza mziki duniani. Enzi hizo hamna Spotify wala Boomplay. Nikakutana na mtu ambaye hata sikutegemea ningefanya nae kazi sababu niliona ana watu wapya wameanza mtengenezea Website. Nikamuonesha ile website ili ani connect na wakina Diamond Platnumz. Akaupenda sana ule mfumo ulivyo mzuri na mwepesi. Akaniambia nifanyie na Mimi website yangu iwe nyepesi maana watembeleaji wangu wanalalamika. Tukaanza kazi siku hiyo. Yeye alinifungulia bomba la bishara yangu ya Website design sababu k**a kawaida yangu nilifanya kwa njaa website yake iwe nyepesi iwafikie watembeleaji wake wengi na iwe nzuri. Nilisema huenda huyu atanilipa vizuri na kweli baada ya siku chache alinishurukuru akaniambia ameona matokeo nimemuongezea views mara nyingi. Alirudi na gari yake kwa madaha akanipa laki 2 na nusu sitosahau ilinitia moyo sana. Ila namshukuru Mungu kwanza sababu katika kazi yangu vitu vingine ni vigumu binadamu nisingeweza, Mungu ananiepusha na Makosa natoka na Website nzuri wateja wangu wanafurahia. Kuna siku nilimtajia mteja Milioni kadhaa kumtengenezea Website sikudhani angekubali ila alikubali nikajishangaa na kusema ndo Mimi Mungu walikuwa wananilipa efu sabini😭. Basi tumshukuru Mungu na kuendelea Muomba. Basil Lyayuka mwanzilishi Idodoe Web Design. Njoo au mlete rafiki tumtengenezee Website upate 10%. Bei ni rafiki sana kuna laki3, Milioni na kuendelea. Birthday ijayo ntajitahidi shusha chini ya hapa. Kuuliza ni Bure +255 714 000 009. LIKE/ COMMENT/ SHARE.

Design or improve your website, Send message!
20/11/2022

Design or improve your website, Send message!

This Spotify reminds me 2005, mwaka ambao huu wimbo ulitoka na ulikuwa wa moto, mwaka ambao Motorola L7 zilikuwa za moto...
27/09/2022

This Spotify reminds me 2005, mwaka ambao huu wimbo ulitoka na ulikuwa wa moto, mwaka ambao Motorola L7 zilikuwa za moto pia, hivyo ukikumbuka huo wimbo unakumbuka na Motorola L7 jinsi tulivyokuwa tukitumiana kwa Infared, jamani msiojua Infared fanyeni ku google. Pia ni mwaka nilioanza kutengeneza Websites zinazotangaza biashara za watu, nicheki sasa upate Website↗️

Fueling our week with prayers Monday Morning at Msewe Roman Catholic⛽
12/09/2022

Fueling our week with prayers Monday Morning at Msewe Roman Catholic⛽

Uncle on duty 😊 But son you're
26/07/2022

Uncle on duty 😊 But son you're

Ukweli Lazima Waupate 🔥
12/07/2022

Ukweli Lazima Waupate 🔥

Address

Kimara
Dar Es Salaam
16104

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:30
Tuesday 08:00 - 17:30
Wednesday 08:00 - 17:30
Thursday 08:00 - 17:30
Friday 08:00 - 17:30

Telephone

+255714000009

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Idodoe Web Design posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Idodoe Web Design:

Share

Category