RAIB Digital Consultation

RAIB Digital Consultation Guiding businesses to digital victory. Social media marketing and content creation experts.

1980s, before the world knew the name… kazi, deals, then kupoa. Some things never change. 🀠πŸ₯‚πŸ“Œ
12/09/2026

1980s, before the world knew the name… kazi, deals, then kupoa. Some things never change. 🀠πŸ₯‚πŸ“Œ

Yesterday was truly memorable as we hosted the β€œMalaysia Education Expo” at Johari Rotana, in partnership with QETC Mala...
30/08/2026

Yesterday was truly memorable as we hosted the β€œMalaysia Education Expo” at Johari Rotana, in partnership with QETC Malaysia. Together, we brought university representatives all the way from Malaysia to meet students and families face-to-face β€” sharing everything from courses and fee structures to available scholarships and admission opportunities.

Grateful for the trust and collaboration with our partners at QETC Malaysia, and to everyone who came out to explore what studying in Malaysia has to offer. This is just the beginning β€” more opportunities for Tanzanian students to study abroad are on the way! πŸŒπŸ“š

Interested in studying in Malaysia? Reach out to us β€” we’ll guide you every step of the way.

EducationOpportunities DarEsSalaam

29/08/2026

Kila siku watu wanapoteza pesa bila kujua wanapofanya malipo ya kimataifa online 😳

Sababu kuu mbili:
πŸ’± Exchange rate loss β€” unabadilishwa kiwango kibaya cha fedha bila wewe kujua
πŸ’° Transaction fees β€” ada za ziada zinazokatwa kila muamala unapofanya

Matokeo yake? Unaishia kulipa zaidi ya bei halisi ya bidhaa!

Njia za kuepuka hasara hizi:
βœ”οΈ Chagua mifumo ya malipo iliyoundwa kwa ajili ya miamala ya kimataifa
βœ”οΈ Fanya utafiti wa exchange rate kabla ya kutuma pesa
βœ”οΈ Punguza idadi ya miamala midogo β€” kusanya malipo pamoja pale inapowezekana

K**a unataka kujua zaidi kuhusu jinsi ya kuagiza bidhaa kutoka nje kwa gharama nafuu β€” fuatilia RAIB Logistics πŸ“¦

πŸ‘‰ Wasiliana nasi leo!

26/07/2026

Natambua wafanyabiashara wengi wamachoka kufanya mauzo mengi kisha hawaoni faida….

Ukweli ni kwamba, shida sio bidhaa.
Tatizo wananunua bidhaa kwa bei kubwa sana hivyo wanashindwa kutoboa kwenye soko la ushindani.

Mwezi huu tutakufundisha kuagiza bidhaa zako wewe mwenyewe kutoka CHINA, DUBAI, US&UK na UTURUKI ili uweze kupata bidhaa hizo hizo kwa bei nusu au hata Chini ya nusu.

Ndani ya darasa utajifunza:
βœ… Jinsi ya kupata suppliers wa kuaminika.
βœ… Namna ya kuwasiliana na kufanya negotiation.
βœ… Kufanya malipo salama bila kuhofia utapeli.
βœ… Quality Inspection kabla bidhaa hazijasafirishwa.
βœ… Shipping na gharama zake.
βœ… Jinsi ya kuhesabu faida kabla hujaagiza.
βœ… Mbinu za kujenga biashara endelevu ya importation.

Haijalishi unaanza leo au tayari una biashara, maarifa sahihi yanaweza kukuepusha na hasara kubwa na kukusaidia kufanya maamuzi yenye faida.

πŸ“ž Unataka kujifunza zaidi?
Bonyeza learn More hapo, Kujiunga.

Pia unaweza kuwasiliana nasi kupitia:
0679899372
0748299372

Karibu RAIB Importation Academy β€” mahali ambapo maarifa yanageuzwa kuwa biashara yenye matokeo.

26/07/2026

Natambua wafanyabiashara wengi wamachoka kufanya mauzo mengi kisha hawaoni faida.

Wenzako wameshtuka mapema.
Wameacha kununua mizigo hapa kwa bei kubwa sana na sasa wanaagiza bidhaa kutoka kiwandani moja kwa moja

Mwezi huu pia tutakufundisha kuagiza bidhaa zako wewe mwenyewe kutoka CHINA, DUBAI, US&UK na UTURUKI.

Ndani ya darasa utajifunza:
βœ… Jinsi ya kupata suppliers wa kuaminika.
βœ… Namna ya kuwasiliana na kufanya negotiation.
βœ… Kufanya malipo salama bila kuhofia utapeli.
βœ… Quality Inspection kabla bidhaa hazijasafirishwa.
βœ… Shipping na gharama zake.
βœ… Jinsi ya kuhesabu faida kabla hujaagiza.
βœ… Mbinu za kujenga biashara endelevu ya importation.

Haijalishi unaanza leo au tayari una biashara, maarifa sahihi yanaweza kukuepusha na hasara kubwa na kukusaidia kufanya maamuzi yenye faida.

πŸ“ž Unataka kujifunza zaidi?
Wasiliana nasi kupitia:
0679899372
0748299372

Karibu RAIB Importation Academy β€” mahali ambapo maarifa yanageuzwa kuwa biashara yenye matokeo.

26/07/2026

Natambua wafanyabiashara wengi wamachoka kufanya mauzo mengi kisha hawaoni faida.

Mwezi huu pia tutakufundisha kuagiza bidhaa zako wewe mwenyewe kutoka CHINA, DUBAI, US&UK na UTURUKI.

Ndani ya darasa utajifunza:
βœ… Jinsi ya kupata suppliers wa kuaminika.
βœ… Namna ya kuwasiliana na kufanya negotiation.
βœ… Kufanya malipo salama bila kuhofia utapeli.
βœ… Quality Inspection kabla bidhaa hazijasafirishwa.
βœ… Shipping na gharama zake.
βœ… Jinsi ya kuhesabu faida kabla hujaagiza.
βœ… Mbinu za kujenga biashara endelevu ya importation.

Haijalishi unaanza leo au tayari una biashara, maarifa sahihi yanaweza kukuepusha na hasara kubwa na kukusaidia kufanya maamuzi yenye faida.

πŸ“ž Unataka kujifunza zaidi?
Wasiliana nasi kupitia:
0679899372
0748299372

Karibu RAIB Importation Academy β€” mahali ambapo maarifa yanageuzwa kuwa biashara yenye matokeo.

26/07/2026

Wachina hawauzi mara moja β€” wanauza kwa MFULULIZO. πŸ‡¨πŸ‡³πŸ“²

Huwa unadhani mchina anakuuzia bidhaa mara moja tu akiongea nawe? Hapana.

Siri yao kuu ni FOLLOW-UP SYSTEM:
βœ… Anakutumia ujumbe siku ya 1
βœ… Akikosa reply, anarudi siku ya 3
βœ… Akikosa tena, anatuma β€œjust checking in” siku ya 7
βœ… Anaendelea hivyo hadi ununue β€” au hadi umzuie

Wengi wetu tunashindwa biashara sio kwa sababu bidhaa mbaya, bali tunauza mara moja kisha tunakata tamaa mteja akikaa kimya.

Mchina hakati tamaa. Anajua β€” β€œHapana” ya leo si β€œHapana” ya milele.

K**a unataka kujifunza jinsi ya kujenga mfumo k**a huu kwa biashara yako ya importation, fuatilia content zangu β€” nitakuonyesha jinsi wanavyofanya kiundani. πŸ‘‡

26/07/2026

Ukifanya tangazo la kulipia kwa ufanisi, utapata messages nyingi. Ni kweli kabisa.

Lakini kuzibadili hizo messages kuwa mteja halisi hapo unahitaji system nzuri ya mauzo.

Sio kila anaekutafuta leo, atanunua leo leo.
Wengine huchukua muda kufanya maamuzi ya kununua.

K**a watu wakituma message, wasiponunua ndo unawaacha, basi kuna wateja wengi sana unapoteza.

Kumbuka mfumo wa mauzo unaofaa kutumia, unategemea na aina ya Biashara unayofanya na audience yako.

Je una mfumo gani utakaokusaidia kuwauzia hadi wale ambao bado hawapo tayari kununua leo?

17/03/2026

πŸ“¦ Unajiuliza wafanyabiashara wanapata wapi bidhaa za bei ndogo kutoka China?

Moja ya siri kubwa ni kutumia platforms k**a 1688, Taobao na Pinduoduo, ambapo unaweza kupata bidhaa moja kwa moja kutoka kwa suppliers na viwandani kwa bei ya chini sana.

Platforms hizi zina maelfu ya bidhaa na ndizo zinazotumiwa na wafanyabiashara wengi duniani kupata bidhaa kwa gharama ndogo.

Ndani ya darasa letu, tutakuonyesha hatua kwa hatua:
βœ… Jinsi ya kutumia platforms hizi kuagiza bidhaa
βœ… Jinsi ya kupata suppliers wa uhakika
βœ… Njia sahihi za malipo na usafirishaji mpaka bidhaa ifike Tanzania

Pia tutafundisha kuagiza bidhaa kutoka Dubai, Uturuki, USA na UK.

⚠️ Usajili wa darasa unaendelea sasa na nafasi ni chache.

πŸ“² Tuma WhatsApp sasa kujiunga kabla nafasi hazijaisha.

Address

Sinza Lego
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when RAIB Digital Consultation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share