Nilalewapiapp

Directions Website

Nilalewapiapp Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Nilalewapiapp, Advertising/Marketing, Airport, Dar es Salaam.

Safari yako inaanza hapa! 🌍✨
β€ŽNa app ya Nilalewapi, unaweza:
β€ŽπŸ¨ Kupata hoteli bora kwa bei nafuu
β€Žβš‘ Kufanya booking ndani ya sekunde chache
β€ŽπŸ’Έ Kufurahia huduma BURE bila makato yoyote ya ziada
β€ŽHii ndiyo njia rahisi zaidi ya kupanga malazi yako!
β€Ž

Tunatakiwa na mamlaka husika kuweka wazi taarifa za usajili wetu kupitia mitandao yetu ya kijamii. Hii pia ni hatua muhi...
01/10/2026

Tunatakiwa na mamlaka husika kuweka wazi taarifa za usajili wetu kupitia mitandao yetu ya kijamii. Hii pia ni hatua muhimu ya kuonesha kwa umma kwamba jukwaa letu ni rasmi, limetambulika na limesajiliwa kihalali na mamlaka husika.

Hata hivyo, tumeficha baadhi ya namba na taarifa muhimu kwa sababu za kiusalama, ili kuzuia watu wasio waaminifu kuzitumia taarifa hizo bila idhini yetu.

16/09/2026

πŸ›‹οΈ MFANYABIASHARA WA FENICHA, TANUA WIGO WA SOKO LAKO! πŸš€

Usibaki na wateja wa eneo lako pekee. Jiunge na FenichapopoteApp na fanya bidhaa zako zionekane kwa wateja wengi zaidi. πŸ“²βœ¨

βœ… Tangaza fenicha zako mtandaoni
βœ… Fikia wateja wapya
βœ… Ongeza mauzo ya biashara yako
βœ… Panua soko lako kwa urahisi

πŸ”₯ Fenicha yako inastahili kuonekana zaidi!

πŸ“² Jiunge na FenichapopoteApp leo na tanua biashara yako.

13/09/2026
🚨 NAFASI YA KAZI – MTU WA MASOKO 🚨Je, una uwezo wa kuvutia wateja, kuwasiliana vizuri na kukuza biashara? Royal Elephant...
28/07/2026

🚨 NAFASI YA KAZI – MTU WA MASOKO 🚨

Je, una uwezo wa kuvutia wateja, kuwasiliana vizuri na kukuza biashara? Royal Elephant Group Company Limited inakutafuta ujiunge na timu yetu ya mafanikio! πŸ’Όβœ¨

πŸ“ Mahali: Dar es Salaam
πŸ‘© Sifa: Mwanamke
πŸ“„ Ajira: Mkataba wa muda mfupi

🎯 Majukumu yako yatakuwa:
βœ”οΈ Kutafuta na kuvutia wateja wapya
βœ”οΈ Kuimarisha uhusiano na wateja
βœ”οΈ Kukuza bidhaa na huduma za kampuni
βœ”οΈ Kufanya ripoti za masoko
βœ”οΈ Kushirikiana na timu kufikia malengo ya mauzo
🎁 Tunatoa:
🌟 Fursa ya kukuza uzoefu
🀝 Mazingira bora ya kazi
πŸ’° Malipo ya kuvutia
πŸ“ž Piga simu: 0767 161 186
πŸ“§ Tuma CV yako: [email protected]
⏳ Mwisho wa kutuma maombi: 05.08.2026

πŸ”₯ Usikose fursa hii!
Tuma maombi yako sasa na uwe sehemu ya timu inayojenga mafanikio makubwa pamoja.

πŸš€ JE, WEWE NI KIJANA MWENYE BIDII NA UNATAFUTA FURSA YA KIPATO?Fenichapopote App inapanua shughuli zake na inatafuta vij...
03/07/2026

πŸš€ JE, WEWE NI KIJANA MWENYE BIDII NA UNATAFUTA FURSA YA KIPATO?
Fenichapopote App inapanua shughuli zake na inatafuta vijana wenye ari ya kazi kujiunga na timu yetu k**a Sales Partners.
Majukumu yako:
βœ… Kutembelea maduka ya fenicha. βœ… Kuwasajili wafanyabiashara kwenye Fenichapopote App. βœ… Kuwasaidia kupakia bidhaa zao na kuanza kutumia App.
Sifa:
βœ” Umri kuanzia miaka 18. βœ” Awe na simu ya Android. βœ” Awe na uwezo mzuri wa kuwasiliana. βœ” Awe mwaminifu na mwenye bidii.
πŸ’° Malipo yatatolewa kwa kila usajili utakaokamilisha pamoja na motisha kulingana na utendaji wako.
Hii ni fursa ya kuwa sehemu ya kampuni inayojenga soko la kidigitali la fenicha nchini Tanzania.
πŸ“ž Wasiliana nasi: 0767 16 11 86 πŸ“§ Email: [email protected]

14/06/2026

Nilalewapiapp

Address

Airport
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nilalewapiapp posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share