Magari USED TZ

Magari USED TZ NAUZA NGUO AINZA ZOTE KWA BEI YA JUMLA NALEJA LEJA

21/11/2025

NAUZA AINA ZOTE KWA BEI YA JUMLA NA LEJA LEJA GUSA LINK UJIUNGE KWENYE GROUP

06/09/2025
Mara nyingi demu unapomwonyesha waziwazi kuwa unamtaka, kuna uwezekano mkubwa wa kutemwa au kuchezeshwa ngoma ya 'friend...
27/04/2025

Mara nyingi demu unapomwonyesha waziwazi kuwa unamtaka, kuna uwezekano mkubwa wa kutemwa au kuchezeshwa ngoma ya 'friendzone'. Lakini vipi k**a nikikutonya kuna mbwinu za kufanya ajipendekeze mwenyeweβ€”bila hata ya kusema, "Samahani dada, naweza kupata namba yako?"

Leo sitaki ufeli, nakupa mbinu ambazo zina nguvu ya kufuta friendzone, kuvuta hisia za mwanamke bila kumtongoza, na kumfanya yeye mwenyewe aanze kukutafutaβ€”haruki hata k**a ni mboga saba imeiva jikoni!

1. Muonyeshe Mwanamke Kwamba Una Dira ya Maisha(Vision ni Turn-On kubwa sana kwa wanawake)

Mnaamjni Hela sana tatizo nyie. Mwanamke mwenye akili timamu anavutiwa zaidi na boy Ako na malengo, maono na mwelekeo. Sio lazima uwe na crown au nyumba kali.

Akijua mipango yako, ari na kuonyesha kuwa huna muda na ujinga, mwanamke utamvutia tu k**a sumaku.

2. Comfidence
Confidence ni harufu nzuri isiyoonekana. Wanangu nyie mnadhani kujiamini ni kupiga kelele au kujionyesha, la hasha. Kujiamini - namna unavyotembea, unavyotazama watu machoni, unavyotulia kwenye mazungumzo na hata jinsi unavyonyamaza kwa ustaarabu. Mwanamke anavutiwa na mwanaume anayejua thamani yakeβ€”bila kudai uthibitisho kutoka kwa yeyote.

Hutaji kusema "nakupenda" ili apende. Ukijua kutulia na kutawala mazingira bila fujo, moyoni mwake anaanza kukuona k**a alpha male.

3. Kuwa Mtu wa Mizaha ya Kipekee (Not Clownish, But Clever Funny)

K**a unaweza kumfanya mwanamke acheke πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ™, umeteka nusu ya moyo wake. Lakini usiwe comedian kihuni au wa matusi. I mean ucheshi wa kisomi, wa kupima, na usiozidi kiwango. Jua kumchekesha kwa kejeli laini, maneno ya kisanii, au hata kuigiza kitu kidogo cha kuchekesha. Mwanamke akishaanza kukuambia, "Wewe ni kichaa lakini nakupenda," jua umeingia ndani bila hodi.

4. Muonyeshe Heshima Bila Kutegemea Kwa Mapenzi

Hili ni kosa la wanaume wengi: wanapompenda mwanamke, wanaanza kumpigia simu mara kwa mara, kumtumia ujumbe kila saa, hadi wanamchosha. Lakini ukijua namna ya kumhe

Address

Mondyrapar@gmail. Com
Dar Es Salaam

Opening Hours

09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Magari USED TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share