27/03/2019
Mashamba yanauzwa kwa bei chee kabisa
Eneo ni kibaha kwa mathias .
Zipo ekari nne
Bei ni 15milion kwa ekari lakini maengezi yao.
Umbali toka barabarani ni kilometa moja.
Pia yapo mashamba mengine karibu na shule ya baobab.
Bei ni 12milion.
Maongezi yapo kwa hio bei.
Umbali ni kilometa tano had nane kutoka morogoro road.
Karibu muhudumiwe.
Wekezeni kwenye ardhi kwa ajili ya kizazi kijacho ( prime land investment)
Kwa mawasiloano piga 0787429198