swahili channels

swahili channels Swahili Channels one special stop Centre.

Kazi moja wapo ya kituo jumuishi cha chaneli zinazotumia lugha ya kiswahili duniani ni kuhakikisha mifumo ya ndani na nj...
05/01/2025

Kazi moja wapo ya kituo jumuishi cha chaneli zinazotumia lugha ya kiswahili duniani ni kuhakikisha mifumo ya ndani na nje ya kituo inakwenda sawa na matakwa pamoja na kanuni.

Habari za asubuhi. Hujambo.?
30/05/2024

Habari za asubuhi. Hujambo.?

23/05/2024

22.05.2024

Tasnia ya kidijitali imejidhihirisha kuwa kuna ukuaji wa mafanikio makubwa zaidi kutoka kwa chanzo cha kuanzia, hadithi ...
01/03/2024

Tasnia ya kidijitali imejidhihirisha kuwa kuna ukuaji wa mafanikio makubwa zaidi kutoka kwa chanzo cha kuanzia, hadithi za ukuaji wa jinsi tunapaswa kutambua katika kuweka wakfu madhumuni ya lugha ya kiswahili.

29/02/2024
Dunia inapoazimisha siku ya lugha mama ulimwenguni, tunafuraha na kujivunia lugha yetu ya kiswahili ambayo inaunganisha ...
22/02/2024

Dunia inapoazimisha siku ya lugha mama ulimwenguni, tunafuraha na kujivunia lugha yetu ya kiswahili ambayo inaunganisha makundi tofauti, jamii na kuhamasisha watumiaji wengi zaidi duniani.

Tunajivunia na tunasonga mbele. Heri ya siku ya lugha mama duniani.

.

18/02/2024

Katika Picha: Sanamu ya Mwalimu Julius Nyerere yazinduliwa makao makuu ya Jumuiya ya Afrika
https://bbc.in/49jOsiv

18/02/2024
Kutokea Ethiopia makao makuu ya umoja wa Afrika. Baba wa taifa la jamhuri ya muungano wa Tanzania, amewekewa kumbukumbu ...
18/02/2024

Kutokea Ethiopia makao makuu ya umoja wa Afrika. Baba wa taifa la jamhuri ya muungano wa Tanzania, amewekewa kumbukumbu ya sanamu. Lugha ya kiswahili inaweza kuunganisha wengi kwenye umoja wenye nguvu.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when swahili channels posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share