03/07/2014
Hellow, kwa vijana wote.....
graduates, walioko mavyuoni, na wwengine popote pale mlipo naomba mpokee taarifa hii.
Wiki ijayo kutakuwa na hafla fupi itakayoandaliwa na Barclays Tanzania kwa kushirikiana na Junior Achievement Tanzania.
Theme/Dhamira ya event hyo ni kueleza isues za ethics na practice of business, entrepreneurship na enterprising in BANKING system.
Ninawaomba vijana wenzangu wote wenye dream za kuwa mabosi wa kazi zao wenyewe na wale ambao washaanza kuzitumikia kazi zao, na wale wote ambao bado wanatafuta njia za kufungua milango kwenye kazi zao na ajira, TUITIKIE wito tukutane katika event hiyo.
Lets stay tuned kujua venue na tarehe ya hyo isue.
Usajili kwa ajl ya hyo kitu is open from this time of NOW, waweza confirm utayari na uwepo wako kupitia namba zifuatazo, 0712082996/0688733184/0716335388