Nellyms art works

Nellyms art works 0655458 283
Nelly ms art works tunahusika na usanifu wa matangazo,picha,callender,brochure,logo wasiliana nas kwa maelezo zaid create to design your smile

18/04/2026
Masaa 48 bila kulala kuna wakati yanazid haya hii huwa   inaitwa jicho kwa jicho … akili bado inadesign lakini hapa hii ...
24/03/2026

Masaa 48 bila kulala kuna wakati yanazid haya hii huwa inaitwa jicho kwa jicho … akili bado inadesign lakini hapa hii siku mwili ukakata network nkatafuta sehemu nkazima chini ya meza nkapunguza asilimia kidogo😴😂

Hii ilikuwa mimi wakati nafanya kazi flani nimechoka lakini bado napambana ili kuhakikisha malengo na matamanio ya mteja yanatimia.

Ukweli ni huu, mitandaoni hakuna mtu anaona hii sehemu wala kujua… lakini mwisho wa siku kazi inajiongelea yenyewe mafanikio yana gharama. Jitihada ni muhimu sana kwenye kazi

Comment “kazikazi” au tag mtu anayehakikisha mteja ana amani akimpa kazi

KaziKazi CreativeLife EventDesign GrindMode MotivationTZ BehindTheScenes CreativeLife DesignerLife NoSleepClub HustleReality EventDesign BrandingLife WorkMode DesignGrind POV

Your shop is open… but can people SEE it?Most businesses lose customers at night because they’re invisible. A clean, bri...
20/03/2026

Your shop is open… but can people SEE it?

Most businesses lose customers at night because they’re invisible. A clean, bright light box doesn’t just light your sign, it pulls people in from the street. If your brand isn’t visible, it’s forgettable.

Turn Your Sign Into a 24/7 SalesmanSubtitleClean. Bright. Professional branding that works day and night.

DM now and let’s light up your business 🔥





Engineer soma iyo
15/03/2026

Engineer soma iyo

Kabla mteja hajaiona kwa shelf designing eye got extra work to do how i imagine and see things welcome to theprocess u g...
14/01/2026

Kabla mteja hajaiona kwa shelf designing eye got extra work to do how i imagine and see things welcome to theprocess u give me words and ideas i turn them into connections giving ur words cloth to put on karibu nms

19/12/2025

Msimu wake

12/12/2025

Niche ni kitu gani?

Usipasue kikombe kwa ajil ya chai mbaya bora umwage chai utunze kikombe
18/07/2025

Usipasue kikombe kwa ajil ya chai mbaya bora umwage chai utunze kikombe

Bad day happens ila huwa haimanishi maisha yasimame .Unapoanguka kugaragara na kulia chin hakutibu wala kuondoa maumivu ...
15/04/2025

Bad day happens ila huwa haimanishi maisha yasimame .Unapoanguka kugaragara na kulia chin hakutibu wala kuondoa maumivu ila hatua inayofata baada ya ajali,kuanguka au kuumia ndo inayofanya kila kitu kubadilika .Maisha si mashindano na hayana jambo dogo kila kitu ni kikubwa na huwez patia au kuwa sawa hata movie zina behind the scene .sasa ya nyuma ya pazia ndo yanayotutengeneza.hii ilikua asubui mbaya lakin ilikuwa sku nzuri sana kwangu . Hakikisha hakuna kitu kinazuia kutengeneza furaha,amani au siku yako .Matatizo yapo kwa kila banadamu na yanakuja uyatatue uwe bora zaid .ukipata matatizo mshukuru Mungu kwa kukuonyesha uwezo wako

Address

Buza
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nellyms art works posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share