Dowelef Afgro Farm ltd

Dowelef Afgro Farm ltd In serving our customers we desire to be recognized globally as an excellent procurement, marketing and sales firm.

Maharage ni moja kati ya mazao ya jamii ya mikunde. Jamii ya mikunde hujumuisha mazao k**a kunde, mbaazi, karanga, soya,...
20/10/2017

Maharage ni moja kati ya mazao ya jamii ya mikunde. Jamii ya mikunde hujumuisha mazao k**a kunde, mbaazi, karanga, soya, choroko na maharage yenyewe. Maharage pamoja na mazao mengine ya jamii yake yana sifa moja kuu, yana vinundu kwenye mizizi yake. Vinundu hivyo vinawahifadhi bakteria maalum (nitrogen fixing bacteria) wanaotengeneza nitrogen. Hii ndio sababu ya kwanini mimea jamii hii inafahamika kwa sifa ya kujitengenezea mbolea yake.
Karibuni mnunue kwetu.

Welcome our customers so as we can serve you with best agro products you need
06/10/2017

Welcome our customers so as we can serve you with best agro products you need

Address

Kilwa Road
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255 713978714

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dowelef Afgro Farm ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share