Bellam Ezra

Bellam Ezra Ninawasaidia watu wote kuanza Biashara na kutengeneza kipato endelevu



Biasharainalipa. Com

Vita ya UMASIKINI ni nzito. Ni vita ambayo inakulazimu sana uanzie Kushinda kwenye Fikra .K**a Fikra Bado zimejaa UMASIK...
15/01/2024

Vita ya UMASIKINI ni nzito.

Ni vita ambayo inakulazimu sana uanzie Kushinda kwenye Fikra .

K**a Fikra Bado zimejaa UMASIKINI na kujiona HUTOSHI, hata k**a Utalazwa kwenye ghala lililojaa Fedha na Dhahabu, baada ya Muda mchache Kwa sababu ya Fikra zako vyote vitakukimbia .

Shughulikia sana Fikra zako Kila wakati.

Sehemu pekee ambayo UMASIKINI Unachukua pointi kirahisi ni kwenye Fikra za watu.

Hata shetani akitaka kukugaragaza kirahisi anacheza na FIKRA ZAKO !

JENGA na KULINDA sana Fikra zako Kila wakati.

Jiungani na Majukwaa yanayokusaidia kukua na kuongezeka Kifikra !.

Leo ni Siku Mpya ,

Fanya jambo Kwa ajiri ya Fikra zako.

Nakutakia Wiki njema .

Kabla haujavuka hatua kubwa kwenye maisha yako lazima upitie kipindi cha.....KUANDALIWA (Preparation Time).Katika kipind...
02/12/2023

Kabla haujavuka hatua kubwa kwenye maisha yako lazima upitie kipindi cha...
..KUANDALIWA (Preparation Time).

Katika kipindi hiki kuna MAMBO ambayo MUNGU atayaruhusu...
...ili yakusaidie KUJIANDAA kabla ya KUFIKA ama kupata UNACHOTAMANI.

Mara nyingi kipindi hiki cha maandalizi huwa ni KIGUMU...
..na chenye MAUMIVU MAKALI.

Na watu wengi hutamani KUKIKIMBIA ama KUKIKWEPA.

Kumbuka ukubwa wa HATUA yako inayofuata ndio itajulisha...
..UKUBWA wa MAANDALIZI yako ya LEO.

Mazoezi ya mtu anayejiimarisha afya hayafanani na...
..mazoezi ya mtu anayejianda kupandishwa cheo jeshini.

Kabla daudi hajapata nafasi ya kukabiliana na GOLIATH ilibidi kwanza...
..akabiliane na DUBU na SIMBA.

Ushindi wake kwa wanyama wakali na wa kutisha ndio ulimpa...
..uwezo wa kukabiliana na KIKWAZO kikubwa.

Kikwazo ambacho kilimpelekea kupata nafasi ya UFALME.

Kuna wengi waliona k**a Daudi ana bahati mbaya kutokana na...
..kila siku kuhatarisha maisha yake kwa kukabiliana na wanyama wakali.

Ambacho hawakujua ni kuwa “Alikuwa Anaandaliwa”.

Kuna wakati unaweza kujiona k**a una bahati MBAYA, MIKOSI au Mungu amekusahau...
...kwani wengine wote mambo yanaonekana shwari ila wewe kila siku kuna changamoto kubwa unakabiliana nayo:

Usitake KUFANANA nao - Wewe UNAANDALIWA kwa ajili ya KITU KIKUBWA.

Usianze kujionea HURUMA ama KULALAMIKA...
..Malizia kipindi chako cha MAANDALIZI kabla HAUJAPATA unachotaka.

Mtu akiuliza kwa nini wewe magumu kila siku?

Mwambie “Naandaliwa”.

Ukibakia peke yako na ukaona mambo hayaendi sawa na...
..kila unakogeuka ni changamoto jiambie “Niko kipindi cha Kuandaliwa”.

DR belam

Katika utawala wa kirumi ilikuwa ni kawaida sana kufanya GWARIDE katika mitaa mbalimbali siku ya kuwapa MEDANI MAJENERAL...
02/12/2023

Katika utawala wa kirumi ilikuwa ni kawaida sana kufanya GWARIDE katika mitaa mbalimbali siku ya kuwapa MEDANI MAJENERALI wa KIJESHI wanaokuwa wamefanya mambo MAKUBWA na ya KISHUJAA katika nchi.
Baada ya gwaride kuisha, jukumu la kumvisha TAJI (crown) jenerali aliyekuwa anapewa heshima lilikuwa ni la MTUMWA mmoja anayechaguliwa ambaye maarufu alikuwa anaitwa jina la “Auriga”.
Kazi kubwa ya “Auriga” haikuwa KUVISHA taji bali haswa MANENO ambayo alitakiwa kuongea anapomvisha taji jenerali wa jeshi. Alitakiwa kusema kwa KUMNONG’ONEZA “Memento Homo’(Kumbuka wewe ni mwanadamu tu)(Remember,you are only a human).
Maneno haya ambayo ilikuwa lazima yasemwe yalilenga KUMKUMBUSHA kila jenerali kuwa bila kujali USHINDI aliopata,UWEZO aliouonyesha au SIFA anazomiminiwa,ASIRUHUSU hayo yote yakampa KIBURI na AANZE kujiona AMESHAFIKA.
Ni rahisi sana KUJISAHAU na mtu ukajiona HAKUNA k**a WEWE,ni rahisi KIBURI kukuvamia kwa sababu ya SIFA zinazomiminwa kwako,ni rahisi sana KUDHARAU wengine kwa sababu ya CHEO au PESA ulizonazo.Usipokuwa makini unaweza kujikuta unajiona k**a wewe ni “mungu mtu”.Kumbuka,wewe ni mwanadamu tu.
Inawezekana hauna mtu wa kukunong’oneza,hauna AURIGA pembeni yako,amua kujikumbusha mwenyewe hata leo na jiambie-“MEMENTO,HOMO”.Ukimuona rafiki yako,kiongozi wako,msanii au bosi wako anayejisahau kujikumbusha,k**a unampenda usisahau kumnong’oneza leo-“MEMENTO,HOMO”.Bila Mungu,Bila Unyenyekevu hakuna anayeweza kufika mbali.
Dr belam

Zifuatazo ni mbinu ambazo unaweza kuzitumia ili uweze kufanikiwa katika mambo yako.1. Weka malengo ambayo yatakuwa mwong...
20/11/2023

Zifuatazo ni mbinu ambazo unaweza kuzitumia ili uweze kufanikiwa katika mambo yako.
1. Weka malengo ambayo yatakuwa mwongozo wako.
Siku zote mtu ambaye anataka kufanikiwa katika maisha lazima kujiwekea malengo na njia ya kufikia malengo hayo, kwa kufuuta malengo hayo itakusaidia kukuongezea juhudi na akili ya ziada ambayo itakupa nafasi kubwa ili uweze kufikia malengo yako.
Kwa mfano katika biashara weka mikakati ya kufanya ili uweze kufanikiwa kibiashara.
2. Jiamini katika kufanya mambo yako.
Kitu ambacho watu wengi wanakwama katika kufanya mambo yao ya kimaendeleo wanashindwa kujiamini wanapo kutana na changamoto katika biashara na maisha.
Ni vyema sana kujisemea kila siku “NAWEZA kwani walio weza wao wananini?” hii itakufanya uwe mwenye juhudi katika maisha yako yote.
3. Usiogope kujaribu.
Inapo tokea fursa ya kimaendeleo usikae nyuma changamkia fursa tena kuwa mstari wa mbele kwa mfano kwa mfanyabiashara inapo tokea tenda ya kusambaza bidhaa yako usiogope kwa kuhofia hasara au ukiona biashara unayo ifanya haina matunda jaribu nyingine utatoka tu!
Pia kwako mwanafunzi ikitokea wanafunzi kadhaa wanahitajika kwa ajiri ya jambo flani penda kuongeza maarifa kwa kuhudhuria semina pia za kimaisha kwani ni bora kujaribu kuliko kutojaribu kabisa ili usije kuanza kujilaumu wengine wakifanikiwa.
4. Jipende.
Katika kujipenda ni vile unavyo jijali, kujiheshimu, kujithamini na kujilinda hasa kiafya, siku zote afya ndio msingi wa maendeleo kwani bila afya bora shughuri mbalimbali zitakwama hivyo kukuludisha nyuma kimaendeleo.
Mtu ambaye anajiheshimu ataheshimika na watu na jamii kwa ujumla inayo mzunguka hii itamfanya kuwa na mahusiano mazuri na jamii yake inayomzunguka hivyo ni rahisi kwake kupata fursa kutoka kwa watu na kuaminika.
5. Usikate tamaa.
Unapo kwama katika mambo yako chukulia k**a changamoto tu na penye changamoto ndio penye mafanikio kwani hivyo changamoto yoyote ina suruhisho lake.
Tafuta msaada wa kimawazo namna gani utakabiliana na changamoto hiyo.

Hawa Ndiyo Watu Unaopaswa kukaa Karibu nao kwenye Maisha Yako:-  👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿  #1.Watu Wanaokufanya UWAJIBIKE.  Hawa ninwatu...
16/11/2023

Hawa Ndiyo Watu Unaopaswa kukaa Karibu nao kwenye Maisha Yako:-
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
#1.Watu Wanaokufanya UWAJIBIKE. Hawa ninwatu wanaokupenda , hawapendi uendelee kuwa tegemezi , wanatamani kukuona ukiwajibika na kujiumbia Dunia Upendayo . Kaa nao karibu

#2. Watu wanaokuhamasisha na kukufanya utamani kuwa Mtu BORA Kila wakati .

#3.Watu wanaokuelewa na Kukusaidia wakati wa Dhiki zako . WIN WITH BELAM

NACHUKUA NAFASI HII KUMKARIBISHA NDUGU OMARY SUGUNE KWA KUANZA BIASHARA HII KUBWAA  AMEANZA NA KIFURUSHI CHA SHILINGI LA...
15/11/2023

NACHUKUA NAFASI HII KUMKARIBISHA NDUGU OMARY SUGUNE KWA KUANZA BIASHARA HII KUBWAA AMEANZA NA KIFURUSHI CHA SHILINGI LAKI MOJA NA NUSU .....KARIBU SANAA NDUGU OMARY SUGUNE🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

ANZA KUJIANDAA KISAIKOLOJIA MASWALI MUHIMU YA KUJIULIZA KABLA JAMBO HALIJAYOLEA (SOMA MPAKA MWISHO)1️⃣MWAJIRIWA        J...
14/11/2023

ANZA KUJIANDAA KISAIKOLOJIA

MASWALI MUHIMU YA KUJIULIZA KABLA JAMBO HALIJAYOLEA (SOMA MPAKA MWISHO)

1️⃣MWAJIRIWA
Jiulize👇
📌Je ukiachishwa kazi utafanyeje au utaishije..?

2️⃣MFANYABIASHARA
Jiulize👇
📌Biashara yako ikienda vibaya utaishi maisha gani...?

3️⃣MWANAMKE (unategemea mwanaume)
Jiulize👇
📌Je akikuacha itaakuwaje...?

4️⃣UKIWA NA CHEO KAZINI
Jiulize👇
📌Je cheo chako kikiondolewa utafanyaje na utajisikiaje...?

5️⃣UKIWA UNASAIDIWA NA MTU
Jiulize 👇
📌Je huyo mtu akiondoka itaakuwaje na utaishi maisha gani baada ya kuondoka huyo mtu....?

6️⃣ MAHUSIANO
Jiulize 👇
📌Huyo mtu unayempenda akikuacha una uwezo wa kuvumilia maumivu ya nafsi....?

Nb
Haya ni maswali ya msingi sana kujijenga kisaikolojia

📌Usisubiri litokee ndipo uanze kujiuliza NO Anza kujiuliza mapema kabla halijatokea

WIN WITH BELAM

Watu wengi wanateswa sana na “EXTERNAL VALIDATION”.....yaani hawajiamini kwenye CHOCHOTE kile hadi watu wengine wawaambi...
13/11/2023

Watu wengi wanateswa sana na “EXTERNAL VALIDATION”...
..yaani hawajiamini kwenye CHOCHOTE kile hadi watu wengine wawaambie.

Kwa sababu hiyo, watu hawa huwa wanakutana na changamoto za aina mbili:

1. FURAHA yao huwa inashikiliwa na watu wengine.

Yaani, hawawezi kufurahi hadi mtu mwingine aamue kuwafurahisha.

Hivi unajua kuna watu ni k**a WAMESHIKILIWA REMOTE ya FURAHA na mtu mwingine?

Wakitaka wafurahi au wakasirike wao ndio wanawaamulia.

Ukiwa mtu wa namna hii, hauwezi kuwa na siku nzuri, kwa sababu unaweza KUVURUGWA wakati WOWOTE ule.

2. Huwa WANAFANYA au KUNUNUA vitu kwa sababu WANATAKA kufurahisha WENGINE.

Yaani, hata k**a hawahitaji, ila wakigundua kuwa wakifanya watafurahisha watu wengine...
..wako tayari KUINGIA kwenye MADENI ili mradi ili wasifiwe au WAKUBALIWE.

Jifunze KUJIKUBALI, jifunze KUJIAMINI na Jifunze KUSHIKILIA FURAHA yako wewe MWENYEWE.

Usikubali kuendesha maisha yako kwa sababu ya watu wengine, SIMAMIA na FANYA kile ulichokichagua.

DR BELLAM
0733883199

Nachukua nafasi hii kumkalibisha champion mpambanaji MADAM VERONICA Katika biashara ya kimilionaire 💸💸 hakika umefanya m...
13/11/2023

Nachukua nafasi hii kumkalibisha champion mpambanaji MADAM VERONICA Katika biashara ya kimilionaire 💸💸 hakika umefanya maamuzi sahihi 🤝✅🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🫂

Unaposhindwa kitu HAKIKISHA unashidwa peke yako Usiwaaminishe wengine kuwa wao pia hawawawezi  k**a wewe ulivyoshindwa W...
13/11/2023

Unaposhindwa kitu HAKIKISHA unashidwa peke yako Usiwaaminishe wengine kuwa wao pia hawawawezi k**a wewe ulivyoshindwa WAO SIO WEWE NA WEWE SIO WAO!!!

WIN WITH BELAM

->[ Tunasaidia kutambua fursa zilizo mbele yako na jinsi ya kuzitumia kuanzisha biashara imara🚀Namna Gani unaweza kutumi...
13/11/2023

->[ Tunasaidia kutambua fursa zilizo mbele yako na jinsi ya kuzitumia kuanzisha biashara imara🚀

Namna Gani unaweza kutumia mitandao ya kijamii mfano Facebook,Tiktok,Instagram kujiingizia kipato

Pia Tunafundisha mbinu za kisasa za kuendesha biashara kupitia majukwaa ya mtandao📱

Utajifunza namna ya kupambana na Soko la Ajira Baada ya masomo📚

Nafasi ya kujiingizia 100,000/= hadi 500,000/= kwa week kupitia kufanya kazi kwa Muda Wako wa ziada Baada ya masomo 💰

**Sio Tu Mafunzo, Bali pia tunatoa usimamizi katika kila hatua

*Jiunge nasi katika safari hii ya mafanikio.

Tunaamini katika wapambanaji, wanaojituma, na wale wasiopenda kukata tamaa. *

👉🏽 Bonyeza hapa Message Dr Bellam on WhatsApp. https://wa.me/255733883199
Kututumia ujimbe whatsapp.

*Au tupigia simu moja kwa moja 📲 0733883199

*Karibu tuungane, tujifunze pamoja, na kujenga mustakabali bora wa kiuchumi wa kesho yetu *

Ni ngumu kumsahau MTU aliekuja kwenye maisha yako na TOCHI 🔦kipindi ambacho ulikua kwenye GIZA NENE na hauoni njia.
13/11/2023

Ni ngumu kumsahau MTU aliekuja kwenye maisha yako na TOCHI 🔦kipindi ambacho ulikua kwenye GIZA NENE na hauoni njia.

Address

Kigamboni
Dar Es Salaam

Telephone

+255733883199

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bellam Ezra posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share