03/12/2023
BIASHARA YA KUFANYA ILI KUTIMIZA MALENGO YAKO
Jinsi kijana aliyeishia form two alivyoweza kutimiza ndoto ambayo angeweza kutumia miaka 60 lakini ndani ya miaka miwili tu kaweza kukamilisha...
Anaitwa Omary kullatain ni kijana ambaye hakubahatika kusoma sana...
Licha ya kuishia form two lakini alikuwa na ndoto ya kujenga nyumba kubwa ya kisasa na kumiliki usafi mzuri...
Alianza mishe mishe za mtaani baada ya kukosa Ada ya kuendelea na masomo..
Alifanya kazi k**a kondakita, akawa saidia fundi, akiwa kwenye kazi ya saidia fundi, Kuna ramani ya nyumba aliipenda sana.
Nyumba ilikuwa inagharimu k**a milioni 60 hivi kulingana na ramani.
Baada ya hapo alijiunga gerage akawa anafanya kazi ya ufundi akilipwa tsh 3000 kwa siku.
Kwasababu alikuwa malengo alianza kusave ile pesa,
Siku moja alikutana na rafiki yake ambaye alikuwa mwanachuo (SUZA) akamtambulisha katika fursa ya biashara
Jamaa alivyoona rafiki yake amenunua Gari (IST) na yeye akapata hamasa ya kujiunga na biashara.
Baada ya muda akaanza kufanya biashara, ndani ya miezi michache akajinunulia usafiri pikipiki (klick) zanzibar ni unyama ukiwa Na hii pikipiki.
Ndani ya miaka miwili alifanikiwa kujenga ile nyumba ambayo alikuwa anatamani kuwa nayo
haimaanishi ukisoma sana ndio utatimiza ndoto Zakotnowa hapana bali ukipata mtu atakae kufundisha jinsi ya kufanikiwa na akakuonyesha biashara gani ufanye na kazi gani ufanye ndipo utafanikiwa
k**a wewe ni kijana hujajua ni kazi gani unatakiwa kufanya na ni biashara gani unatakiwa kufanya ni usikose kwenye mafundisho yangu ambayo nayatoa bule kabisa ili kukusaidia ww kufanikia 🙏🙏🙏🙏