21/05/2016
Msemaji wa iKwanza Advertising Agency akielezea wateja akiwemo katibu mkuu wa wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezi Mh. ELISANTE OLE GABRIEL juu ya huduma na bidhaa tunazotoa walipotembelea meza yetu katika maonesho ya biashara za kampuni zinazomilikiwa na watanzania waliosoma China, chini ya Chama cha watanzania waliosoma China - CAAT.