28/07/2017
August Giving Back To Community Program.
Tunayofuraha kuwataarifu kuwa tumeanzisha utaratibu wa kutoa huduma zetu bure kwa ajili ya makundi maalumu, Na kwa mwezi wa nane(August 2017) TUNATOA OFA YA KUTENGENEZA WEBSITE BUREEE(FREEE WEBSITE) kwa makundi yafuatayo:-
1. Makanisa, Misikiti
2.Vikundi vya waimbaji wa nyimbo za Injili, waimbaji binafsi(Solo Artist) wa nyimbo za Injili
3.Vituo vya kulelea watoto yatima
4. NGOs kwa ajili ya mazingira, afya na vijana
5.Makundi ya ujasiriamali, VIJANA
Ili kuweza kupata utaratibu wa kutengenezewa website yako
piga simu namba: 0658 417 542 au 0692 469 546
whatsapp: 0658 417 542
email: [email protected]
KARIBUNI SANA