09/08/2014
Je wewe ni Msanii? Meneja? Una Studio ya Kurekodi Muziki?
KITAA PROMOTIONS chini ya Kampuni ya SHOWBIZ DEFINED VIDEOZ inatoa ofa ya video Kumi (10) kwa wasanii chipukizi ambao hawajawahi kufanya video kabisa na wana nyimbo nzuri, nasisitiza nyimbo nzuri uwe unaimba muziki wa injili , bongo flava, ragga , reggae n.k
NINI CHA KUFANYA ILI UPATE OFA HII
Tuma nyimbo yako kwenda [email protected] ,
1. Andika jina lako halisi
2. Jina la Kisanii
3. Umerekodia studio ipi pamoja na jina la producer
4. Upo Mkoa gani
5. Mawasiliano (Simu, Email, Whatsapp /Viber number)
Mwisho wa kutuma nyimbo ni tarehe 15.08.2014
K**a umechaguliwa utapata majibu kwenye mawasiliano ambayo utakuwa umetupatia.
Ukiliona Tangazo hili share kwenye wall yako ili nawe uweze kumsaidia Artist aliye jirani yako