16/08/2022
Plot ipo mjimwema mtaa ungindoni
Ina ukubwa wa sqm 523.
ime shafanyiwa upimaji bado kutoa hati tu
Bei milioni 25 Tzs tu.
ofa inasikilizwa , umbali kutoka barabara kuu 300 mita, Karibu paka site
0653909344
,