12/06/2026
๐ฅ
MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT)
Bank of Tanzania (BoT)
Ikulu Tanzania
๐ Ijumaa, 12th June 2026,
๐ JNICC , Dar es Salaam,
โฐ Saa 4 Kamili Asubuhi.
๐ฅ
- - - - - -
REPOST Ikulu Tanzania with -
- - - - -
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza Kitufe kuashiria uzinduzi wa Kitabu cha miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Juni, 2026.