Afya Herbal Clinic

Afya Herbal Clinic Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya Herbal Clinic, Advertising/Marketing, Dar es Salaam.

🌱 Elimu ya Afya | Tiba Asilia | Ushauri
Tunatoa elimu ya Afya na Suluhisho la Matatizo Mbalimbali ya Mwili kwa njia Salama na ya Asili.

📲 Wasiliana nasi kupitia WhatsApp: [0743473065]

👉 Afya ni mtaji wa maisha – itunze leo

CHANZO CHA TATIZO LA BAWASIRI~chanzo halisi cha ugonjwa huu ni ongezeko la presha katika utumbo mkubwa. Ongezeko hili la...
04/09/2026

CHANZO CHA TATIZO LA BAWASIRI
~chanzo halisi cha ugonjwa huu ni ongezeko la presha katika utumbo mkubwa. Ongezeko hili la presha linasababishwa na vitu vifuatavyo:
👉TATIZO LA KUTOPATA CHOO AU KUA NA CHOO KIGUMU

👉KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU

👉UZITO KUPITA KIASI

👉MFUMO MBAYA WA LISHE

👉UJAUZITO

DALILI ZA BAWASIRI
👉Ngozi kuwasha katika eneo la haja kubwa

👉kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia

👉kutokea uvimbe katika eneo la haja kubwa

👉kujitokeza kwa kinyama

👉kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana

MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI
👉kupata upungufu wa damu (anemia)

👉Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo

👉hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake na wanaume.

👉kukosa morali ya kufanya Kaz kutokana na maumivu makali

👉Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya UTUMBO MKUBWA (CANCER) kwa sababu kile kinyama kinakaa K**a kidonda.,,

TIBA
HERBAL HEMORRHOID SPRAY NI DAWA YA ASILI YA MITISHAMBA INAYOSAIDIA KUPAMBANA NA BAWASIRI,
IMETENGENEZWA KWA VIAMBATA VYA ASILI KWA 100%,
✅INAONDOA PRESHA KUBWA KWENYE MISHIPA YA DAMU YA SEHEMU YA HAJA KUBWA
✅ HUSAIDIA KUREKEBISHA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA.
✅HUONDOA MAUMIVU MAKALI NDANI YA MUDA MFUPI SANA,
✅HUKATA DAMU INAYOTOKA HARAKA,
✅HUONDOA MUWASHO MKALI
✅ HUONDOA UVIMBE MKUBWA NA MDOGO
✅HUMALIZA KABISA TATIZO LA CHOO KIGUMU
✅HUTIBU WALIOFANYIWA UPASUAJI NA TATIZO LIKARUDI TENA
✅HUREKEBISHA MMENG'ENYO WA CHAKULA.
✅HAINA KEMIKALI IMETHIBITISHWA NA MAMLAKA HUSIKA.

USIKATE TAMAA! NDOTO YAKO YA KUWA MAMA INAENDA KUTIMIA MWAKA HUU! 👶✨Umekuwa ukitafuta mtoto kwa muda mrefu bila mafaniki...
02/09/2026

USIKATE TAMAA! NDOTO YAKO YA KUWA MAMA INAENDA KUTIMIA MWAKA HUU! 👶✨
Umekuwa ukitafuta mtoto kwa muda mrefu bila mafanikio? Unateseka na maumivu au changamoto za mfumo wa uzazi na unatamani kusikia sauti ya mwanao ikikuita "Mama"? ❤️
Usihuzunike tena! Dozi hii maalum ya Food Supplements (Tiba Asili) imesaidia wanawake zaidi ya 600 kupona na kupata furaha ya kubeba ujauzito!
DOZI HII INATIBU NA KUONDOA CHANGAMOTO ZIFUATAZO:
1. 🛑 P.I.D (Magonjwa ya Unyonga): Maumivu makali ya tumbo la chini na viuno.
2. 🛑 Mirija ya Uzazi Iliyoziba: Inazibua na kusafisha mirija kwa ufanisi.
3. 🛑 Hormone Imbalance: Inawianisha homoni na kurekebisha mzunguko wa hedhi.
4. 🛑 Uvimbe Kwenye Kizazi (Fibroids / Cysts): Inasaidia kuyeyusha uvimbe.
5. 🛑 Athari za Uzazi wa Mpango: Inasafisha sumu na kurejesha mfumo wako wa uzazi katika hali ya kawaida.
6. 🛑 Fangasi Sugu, U.T.I na Uchafu Ukeni: Inamaliza kabisa utokaji wa uchafu wenye harufu mbaya na miwasho.
💡 KWANINI UCHAGUE DOZI HII?
1. 🌿 Tiba Asili na Salama 100%: Haina madhara yoyote kwa afya yako.
2. 🎯 Matokeo ya Haraka: Utajionea mabadiliko makubwa ndani ya wiki 3 tu za matumizi!
3. 📋 Imethibitishwa: Inatibu chanzo cha tatizo na kuandaa mfumo wako wa uzazi kubeba mimba.
💰 GHARAMA YA DOZI KAMILI: TSH 331,500/= TU!
🤝 TARTIBU ZA MALIPO NA UTUMAJI:
1. 🚛 Mikoani: Unalipia Nauli ya TSh 10,000/= tu popote ulipo, kisha dawa unaipokea na kulipia pesa ya dozi ukishaipata mikononi mwako! (Lipia Baada ya Kupokea)
2. 🏙️ Dar es Salaam: Unatumiwa mpaka ulipo na unalipia ukipokea.
📲 CHUKUA HATUA SASA!
Idadi ya dozi ni chache kulingana na mahitaji usiruhusu tatizo hili liendelee kukukosesha furaha.
👇 Piga simu au tuma ujumbe WhatsApp sasa hivi:
📞 0628199356
Afya yako na furaha ya familia yako ndio kipaumbele chetu!

04/03/2026

BAWASIRI ni uvimbe unaoota ndani na/au kuzunguka tundu la kutolea haja kubwa.

Kuna Aina Ngapi Za Bawasiri?
👁Bawasiri za ndani (Internal piles) ni zile zinazotokea kwenye eneo la ndani lililo zaidi ya sentimenta 2-3 kutoka kwenye tundu la kutolea kinyesi – kwenye eneo la juu la a**l ca**l. Bawasiri za ndani kwa kawaida hazina maumivu kwa sababu sehemu ya juu ya a**l ca**l haina nyuzi za neva za maumivu.
👁Bawasiri za nje (Exteranl piles) ni zile zinazotokea kwenye eneo lililo chini yake, eneo la chini la a**l ca**l. Bawasiri za nje zaweza kuwa na maumivu kwa sababu eneo la chini la a**l ca**l lina uwingi wa nyuzi za neva za maumivu.
👁Watu wengine huwa na bawasiri za ndani na bawasiri za nje kwa wakati mmoja.

CHANZO CHA TATIZO
~chanzo halisi cha ugonjwa huu ni ongezeko la presha katika utumbo mkubwa. Ongezeko hili la presha linasababishwa na vitu vifuatavyo:
👉TATIZO LA KUTOPATA CHOO AU KUA NA CHOO KIGUMU
👉KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
👉UZITO KUPITA KIASI
👉MFUMO MBAYA WA LISHE
👉UJAUZITO
DALILI ZA BAWASIRI
👉Ngozi kuwasha katika eneo la haja kubwa
👉kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
👉kutokea uvimbe katika eneo la haja kubwa
👉kujitokeza kwa kinyama
👉kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana

MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI
👉kupata upungufu wa damu (anemia)
👉Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo
👉hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake na wanaume.
👉kukosa morali ya kufanya Kaz kutokana na maumivu makali
👉Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya UTUMBO MKUBWA (CANCER) kwa sababu kile kinyama kinakaa K**a kidonda.,,
TIBA
HERBAL HEMORRHOIDS SPRAY NI DAWA YA ASILI YA MITISHAMBA INAYOSAIDIA KUPAMBANA NA BAWASIRI,
IMETENGENEZWA KWA VIAMBATA VYA ASILI KWA 100%,
✅INAONDOA PRESHA KUBWA KWENYE MISHIPA YA DAMU YA SEHEMU YA HAJA KUBWA
✅ HUSAIDIA KUREKEBISHA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA.
✅HUONDOA MAUMIVU MAKALI NDANI YA MUDA MFUPI SANA,
✅HUKATA DAMU INAYOTOKA HARAKA,
✅HUONDOA MUWASHO MKALI
✅ HUONDOA UVIMBE MKUBWA NA MDOGO
✅HUMALIZA KABISA TATIZO LA CHOO KIGUMU
✅HUTIBU WALIOFANYIWA UPASUAJI NA TATIZO LIKARUDI TENA
✅HUREKEBISHA MMENG'ENYO WA CHAKULA

24/02/2026

Homa ya figo ni maambukizi yanayoathiri figo, mara nyingi yakianzia kwenye njia ya mkojo na kupanda hadi kufikia figo. Tatizo hili lisipotibiwa mapema linaweza kuleta madhara makubwa kiafya. Afya ya figo ni muhimu sana kwa sababu figo husaidia kuchuja damu, kuondoa sumu mwilini na kudhibiti maji pamoja na madini muhimu.

✨ SABABU ZA HOMA YA FIGO
🔹 Maambukizi ya bakteria kwenye njia ya mkojo (UTI) yasipotibiwa mapema
🔹 Kushikilia mkojo kwa muda mrefu
🔹 Kunywa maji kidogo
🔹 Mawe kwenye figo
🔹 Kinga ya mwili kuwa dhaifu
🔹 Kisukari kisichodhibitiwa

⚠️ DALILI ZA HOMA YA FIGO
✔️ Maumivu makali ya mgongo chini au pembeni
✔️ Homa kali na kutetemeka
✔️ Maumivu wakati wa kukojoa
✔️ Mkojo kuwa na harufu kali au damu
✔️ Kichefuchefu na kutapika
✔️ Mwili kuchoka sana

💊 MATIBABU
✅ Kuona daktari mapema kwa vipimo na ushauri sahihi
✅ Matumizi ya dawa za antibiotiki kulingana na ushauri wa daktari
✅ Kunywa maji mengi kusaidia kusafisha njia ya mkojo
✅ Kupumzika vya kutosha
✅ Kutibu magonjwa yanayoweza kuchangia k**a kisukari

🚨 Epuka kujitibu bila ushauri wa kitaalamu. Ukiona dalili zozote, wahi hospitali kwa uchunguzi. Kinga ni bora kuliko tiba kunywa maji ya kutosha kila siku na zingatia usafi binafsi.

Afya ya figo ni hazina ya maisha. Linda figo zako leo kwa kesho iliyo bora zaidi 💙

30/01/2026

Je, unajua kuwa Vitamin E ni moja ya virutubisho muhimu sana kwa afya ya ngozi na mwili kwa ujumla?

Eternal Natural Vitamin E Soft Capsule imetengenezwa kwa viwango vya juu kwa lengo la kuupa mwili wako ulinzi na urembo wa asili 🌿

FAIDA ZA ETERNAL NATURAL VITAMIN E 🌟
✔️ Hulinda na kuifanya ngozi iwe laini, ang’avu na yenye mvuto wa asili
✔️ Hupunguza mikunjo, madoa meusi na dalili za uzee
✔️ Husaidia kusawazisha homoni hasa kwa wanawake
✔️ Huongeza kinga ya mwili (immune system)
✔️ Ni antioxidant yenye nguvu – hupambana na free radicals
✔️ Inafaa kwa wanaume na wanawake wa rika zote

💚 Chagua kuwekeza kwenye afya na urembo wako leo, kwa sababu mwili wako unastahili kilicho bora zaidi!








Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Herbal Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share