Geda Online Shop

Geda Online Shop Wauzaji na wasambazaji wa bidhaa za electronics majumbani na ofisini
Free delivery Dar Es Salaam nzim Free delivery service
(1)

Kaa na pesa yako tunakufata ulipo🔥Samsung smart tv 43" pata sasa kwa Tsh 660,00 Tu✅Full documents Tupo Kariakoo mtaa wa ...
03/04/2024

Kaa na pesa yako tunakufata ulipo🔥

Samsung smart tv 43" pata sasa kwa Tsh 660,00 Tu✅

Full documents

Tupo Kariakoo mtaa wa msimbazi jengo la simba 📍

Tupo wazi siku zote kasoro jumapili tu☺️

Follow ukurasa wetu ili usipitwe na bidhaa nyingi zaidi tunazopost kila siku 🫡

Karibu sana ✅

ALITOP SUBWOOFER 4011🔥Sasa unaipata kwetu kwa Tsh 60,000 Tu✅Mara zote wahenga wanasema "kidogo huzaa vikubwa" anza na hi...
02/04/2024

ALITOP SUBWOOFER 4011🔥

Sasa unaipata kwetu kwa Tsh 60,000 Tu✅

Mara zote wahenga wanasema "kidogo huzaa vikubwa" anza na hii alafu baadae utapata kubwa zaidi

📍Tupo Kariakoo mtaa wa msimbazi
📍Ukifika jengo la simba piga simu moja tu 📲☺️

NB
Free delivery Dar nzima ✅
Mikoani tunasafirisha pia kwa nauli ya mteja

Follow ukurasa wetu ili usipitwe na bidhaa nyingi zaidi tunazopost kila siku ✅

Anza Safari Yako Ya Teknolojia na Zawadi ya Nguvu!Kununua Kwako, Kunawasha Nguvu Yako! 💡 Pata Uniti Mbili za Umeme BURE ...
31/03/2024

Anza Safari Yako Ya Teknolojia na Zawadi ya Nguvu!

Kununua Kwako, Kunawasha Nguvu Yako! 💡 Pata Uniti Mbili za Umeme BURE Kwa Kila Ununuzi wa Bidhaa zetu za Electronics!"

"Kila chaguo lako linajibu mahitaji yako na kutunza mfuko wako! Nasi tunakwenda hatua moja zaidi - kila ununuzi unaoufanya unakuletea zawadi ya nguvu moja kwa moja nyumbani kwako. Kwa sababu kila mteja wetu anastahili mwanga zaidi!

🔌 Ofa Maalum!

Nunua bidhaa yoyote ya electronics kutoka kwetu na upate uniti 2 za umeme BURE!

🛍️ Anza Kufurahia Leo!

Chagua kutoka kwa aina pana za bidhaa zetu za kielektroniki na uanze kuokoa mara moja.

⏰ Muda ni Sasa!

-Ofa hii ni ya muda mdogo. Usikose nafasi yako ya kung’ara!

Tembelea Page zetu sasa hivi kuchagua bidhaa yako na kuanza kuokoa!

Kwa sababu sisi tunaamini katika kukupa zaidi ya unavyotarajia. Geda Mall Tunakoanza safari ya teknolojia pamoja!

Roch microwave 20Liter 🔥Bei ni 175,000 Tu ✅📍Free delivery ndani ya Dar Es Salaam📍Mikoani pia tunasafirisha kwa bei poa n...
31/03/2024

Roch microwave 20Liter 🔥

Bei ni 175,000 Tu ✅

📍Free delivery ndani ya Dar Es Salaam
📍Mikoani pia tunasafirisha kwa bei poa na uaminifu mkubwa

Mteja kwetu ni mfalme 🫡

Sisi k**a Geda Online Shop tunawatakia waikristo wote Heri ya ijumaa kuu na hongera kwa kukaribia kumaliza mfungo wa sik...
29/03/2024

Sisi k**a Geda Online Shop tunawatakia waikristo wote Heri ya ijumaa kuu na hongera kwa kukaribia kumaliza mfungo wa siku 40

Unaweza kufollow ukurasa huu ili kuwa updated na post zetu za kila siku🙏

Highlight Geda Mall Everyone Good Friday Discount Season

Free delivery kwa wakazi wa dar na mikoani tunasafirisha kwa bei nafuu na kwa uaminifu mkubwa 📍Tupo Kariakoo mtaa wa msi...
28/03/2024

Free delivery kwa wakazi wa dar na mikoani tunasafirisha kwa bei nafuu na kwa uaminifu mkubwa

📍Tupo Kariakoo mtaa wa msimbazi jengo la simba

Follow ukurasa wetu ili usipitwe na bidhaa na zawadi kemkem kutoka kwetu

Piga|sms|WhatsApp 0628642897✅

Karibu sana, Mteja kwetu mfalme✅

🔥ALITOP SOUND BAR new model 🔥🕳️Flash na Memory Card Port✅🕳️Bluetooth ✅🕳️Remote Controller✅🕳️AUX input wire For TV Connec...
27/03/2024

🔥ALITOP SOUND BAR new model 🔥

🕳️Flash na Memory Card Port✅
🕳️Bluetooth ✅
🕳️Remote Controller✅
🕳️AUX input wire For TV Connection✅
🕳️AV Wire For Radio connection ✅
🕳️STRONG VOLUME+ BASE✅

Bei ni Tsh 110,000🤷🏽‍♂️

NB:
Usafiri ni bure mpaka ulipo😁
MIKOANI TUNASAFIRISHA PIA

📍Tupo Kariakoo mtaa wa msimbazi
Jengo la simba

Whatsapp/Piga/sms 0628642897

HISENSE FRIDGE+ Water DispenserOFFER✅OFFER✅OFFER✅OFFER° Inatumia Umeme mdogo sana( Energy Sarving Technology).° Inagandi...
25/03/2024

HISENSE FRIDGE+ Water Dispenser

OFFER✅OFFER✅OFFER✅OFFER

° Inatumia Umeme mdogo sana( Energy Sarving Technology).
° Inagandisha Kwa Haraka sana ( Fast Freezing).
° Inatunza Ubaridi kwa muda mrefu sana umeme ukikatika( 24 Hours).
° Haimwagi maji ndani umeme ukikatika( Non- Frost Technology).
° Litre 177✅
° Water Dispenser Port
•• Upande wa Juu ni Freezer inagandisha Kwa Haraka sana...
•• Upande wa Chini ni Fridge inapoza
√ Warranty miaka mitano( 3 Years warranty).
📍Tunapatikana Kariakoo mtaa wa msimbazi Dsm.
🚥Dar es salaam Free Delivery na malipo baada Ya kupokea mzigo wako

📞call/Sms/WhatsApp
0628642897
Geda Mall

Bidhaa Bora & Bei nafuu
® HISENSE FRIDGE( Litre 177)=

BEI TSH 650,000✅

Karibuni sana

Karibu Boss ujipatie Hisense fridge kwa Tsh 650,000 Tu ikiwa na WATER DISPENSER yake🫡Huduma zetu ni free delivery yaani ...
23/03/2024

Karibu Boss ujipatie Hisense fridge kwa Tsh 650,000 Tu ikiwa na WATER DISPENSER yake🫡

Huduma zetu ni free delivery yaani tunakuletea mpaka ulipo buure 📍

Pesa unalipa baada ya kupokea mzigo😁

Mikoani tunatuma kwa uaminifu lakini unalipa kwanza

Karibu Boss Fridge ni nzuri saana

Hisense fridge & freezer H300      Tsh -1,080,000▪️Faida kubwa ya hii fridge ni hauhitaji kuzima zima kwaajili ya kusave...
23/03/2024

Hisense fridge & freezer H300

Tsh -1,080,000

▪️Faida kubwa ya hii fridge ni hauhitaji kuzima zima kwaajili ya kusave umeme ,Hii fridge itazima pindi ikipata unaridi na itajiwasha unaridi ukipungua

▪️Tunafanya free delivery kwa Dar es salaam na kiasi kidogo Cha pesa ya usafiri kwa mikoani

▪️ Full risiti na Warranty ya mda mrefu mpaka miaka 5

▪️Tupo kariakoo msimbazi center

Karibuni sana
mall

🔥ALITOP SUBWOOFER new model 🔥🕳️Flash na Memory Card Port✅🕳️Bluetooth ✅🕳️FM Radio ✅🕳️Remote Controller✅🕳️AUX input wire F...
23/03/2024

🔥ALITOP SUBWOOFER new model 🔥

🕳️Flash na Memory Card Port✅
🕳️Bluetooth ✅
🕳️FM Radio ✅
🕳️Remote Controller✅
🕳️AUX input wire For TV Connection✅
🕳️AV Wire For Radio connection ✅
🕳️STRONG VOLUME+ BASE( Volume 98+ )✅

Bei ni Tsh 115,000🤷🏽‍♂️

NB:
Usafiri ni bure mpaka ulipo😁

📍Tupo Kariakoo mtaa wa msimbazi

Whatsapp/Piga/sms 0628642897

Address

Kariakoo Mtaa Wa Msimbazi
Dar Es Salaam
JENGOLASIMBA

Opening Hours

Monday 08:00 - 23:00
Tuesday 08:00 - 23:00
Wednesday 08:00 - 23:00
Thursday 08:00 - 23:00
Friday 08:00 - 23:00
Saturday 08:00 - 20:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Geda Online Shop posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share