BEEM Media Limited

BEEM Media Limited Beem Media Limited is the registered company leading in provision of Graphics and Digital Printing,

We are dealing with Audio and Visual Services such as Graphics and Printing | Photography and Videography | MC, Dj and Music | Studio Services

SIKU 4 ZA KUJIFUNZA MISINGI YA ANALOGI NA DIGITAL MIXER, EQUALIZER NA CROSSOVER...KUNANZIA SEP 23-26, 2025...GOBA DAR ES...
06/09/2025

SIKU 4 ZA KUJIFUNZA MISINGI YA ANALOGI NA DIGITAL MIXER, EQUALIZER NA CROSSOVER...KUNANZIA SEP 23-26, 2025...GOBA DAR ES SALAAM. MWASILIANO PIGA 0752025991

21/06/2025

Tunapokuja kwenye swala la Muhimu kabisa kwenye mikutano mingi, kipaumbele kikubwa kipo kwenye matamshi (speech). Na mikutano k**a hii ya kitaifa huwa inafuatiliwa na watu mbali mbali na wenginine lugha ya kiswahili ni lugha ya PILI na sio ya kwanza na hivyo unaposanifu mfumo wako wa mziki Huna budi kuhakikisha kuwa kunakuwepo na usikivu mzuri kwa wale waliopo ukumbini lakini pia kwa wale wanaofuatikia kwenye mtandao/Online.

Beem Media Limited ni wabobevu kwenye usanifu wa mifumo hii ya Muziki.

Kwa mawasiliano;

+255 752025991

Benson Msechu.

Huduma ya Grand Ibada inayotarajiwa kufanyika leo Jumamosi 21_2025 ikiongozwa na Mtumishi wa Mungu Dr Ipyana.....Kipekee...
21/06/2025

Huduma ya Grand Ibada inayotarajiwa kufanyika leo Jumamosi 21_2025 ikiongozwa na Mtumishi wa Mungu Dr Ipyana.....

Kipekeebna Mshukuruni Mungu kwa kuwa Sehemu ya maandalizi ya Hii Ibada kwenye Eneo la Setup ya Mfumo wa Sauti. Sound Eng Benson Msechu nilishirikiana na Sound Eng Hurbert Msuya pamoja Na Eng Amosi kwenye eneo La Mfumo wa sauti. I would like to appreciate this wonderful Team.

KONGAMQNO KA KITAIFA DHIDI YA MATUKIO YA KUPOTEA KWA RAIA NCHINI TANZANIA...Beem Media Ltd imetoa huduma ya Mfumo wa Sau...
05/10/2024

KONGAMQNO KA KITAIFA DHIDI YA MATUKIO YA KUPOTEA KWA RAIA NCHINI TANZANIA...Beem Media Ltd imetoa huduma ya Mfumo wa Sauti ikihakikisha kuna usikivu wa matamshi na TONAL UNIFORMITY

Nikimkabidhi  Katibu wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) - Mkoa wa Dar es Salaam, Kitabu cha Kutawala Vifa...
02/09/2024

Nikimkabidhi Katibu wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) - Mkoa wa Dar es Salaam, Kitabu cha Kutawala Vifaa Vyako Vya Muziki Kanuni za Msingi.

Kwangu hii ni neema ya kupata Fursa kutoa elimu ya Kutawala Vifaa Vya Muziki kwa namna ambayo haitaadhiri afya za Binada...
02/09/2024

Kwangu hii ni neema ya kupata Fursa kutoa elimu ya Kutawala Vifaa Vya Muziki kwa namna ambayo haitaadhiri afya za Binadamu katika semina iliyoandaliwa na JMAT wakishirikiana na NEMC.. Pichani ni baadhi ya viongozi wa NEMC na JMAT.

Nilifurahi kupata Fursa ya Kumkabidhi Meneja wa NEMC Joyce Kombe Kitabu cha KUTAWALA VIFAA VYAKO VYA MUZIKI: KANUNI ZA M...
02/09/2024

Nilifurahi kupata Fursa ya Kumkabidhi Meneja wa NEMC Joyce Kombe Kitabu cha KUTAWALA VIFAA VYAKO VYA MUZIKI: KANUNI ZA MSINGI katika semina iliyoqndaliwa na Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania wakishirikiana na NEMC kutoa eleimu kwa Wachungaji na Mafundi Mitambo wa Makanisani kuhusu sauti na Mitetemo iliyozidi katika Nyumba za Ibada. Nilijifunza Mengi kutoka kwa wadau hawa.

Ratiba ya Madarasa ya Kutawala Vifaa Vya Muziki kwa Mwezi wa Kumi na Kumi na Moja...Kwa wale ambao wangependa kutufuatik...
29/08/2024

Ratiba ya Madarasa ya Kutawala Vifaa Vya Muziki kwa Mwezi wa Kumi na Kumi na Moja...

Kwa wale ambao wangependa kutufuatikia online watoe taarifa mapema ili tuweze andaa miundo mbinu mapema.

Kwa Mawasiliano:

+255752025991

Benson Msechu
Mwandishi na Mshauri kwenye Maswala ya Kutawala Vifaa Vya Muziki.

Keep on booking Mc/Video/Music/Photo
10/10/2023

Keep on booking
Mc/Video/Music/Photo

Address

Beem Media Limited
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BEEM Media Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share