Swahili Nation Pictures

Swahili Nation Pictures Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Swahili Nation Pictures, Advertising/Marketing, Swahili Africa Industry Entertainment (SWAFRICA), P. O. BOX 511, , VILLAGE MUSEUM/KIJIJI CHA MAKUMBUSHO, KIJITONYAMA, Dar es Salaam.

Mtoto mkubwa wa Kiwanda Cha Burudani Cha Kiswahili kinachozalisha bidhaa za burudani katika misingi chanya Kimataifa na kuutangaza Uswahili na vivutio vyake Dunia nzima

KUTOKA KWA JONGWE AKA SUGU ;SAKATA LA WASANII NA WANANCHI AMJIBU MAJIZO.Mkongwe wa Hip Hop na Mwanasiasa, Joseph Mbiliny...
12/12/2025

KUTOKA KWA JONGWE AKA SUGU ;
SAKATA LA WASANII NA WANANCHI AMJIBU MAJIZO.

Mkongwe wa Hip Hop na Mwanasiasa, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, amemtolea uvivu Mkurugenzi wa EFM, Majizzo, akimuonya dhidi ya kutetea wasanii wanaolalamikiwa na wananchi kwa kukosa uzalendo.

Katika ujumbe mzito, Sugu amemkumbusha Majizzo historia yao, akifichua kuwa ndiye aliyempa gari yake ya kwanza mwaka 2003, hivyo anajua anavyouthamini muziki. Hata hivyo, amemwambia “kwa hili ni UDWANZI” kuwatetea wasanii walioitumia sanaa kuumiza, kudharau na kuwakosea heshima Watanzania waliowainua.

Sugu amesisitiza kuwa mgomo baridi wa sasa dhidi ya wasanii hao sio siasa, bali ni hasira ya umma kutokana na usaliti. Sugu akihitimisha kwa msimamo mkali akisema “Niko upande wa Watanzania,”

21/02/2024

Address

Swahili Africa Industry Entertainment (SWAFRICA), P. O. BOX 511, , VILLAGE MUSEUM/KIJIJI CHA MAKUMBUSHO, KIJITONYAMA
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255655434039

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swahili Nation Pictures posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Swahili Nation Pictures:

Share