01/04/2026
Hii Hapa? Siyo ya Kila Mtu. Samsung Galaxy S26 sasa iko mjini… na imekuja kubadilisha game zima la simu za maana.
Kamera kali.
Performance safi.
Na ule mwanakano wa “unajua huyu, sio mwenzetu.”
Wale wenzetu wa chap chap...dakika 30 tu some 75% tayari kwa safari.
Na wale wapenda magemu, hapa ni nyumbani kwao.
Hii ni ya wale wanaojua wanachotaka. Wanyamwezi tu!
Tag mtu ambaye bado anatumia simu ya zamani...
Wewe uko team upgrade au bado unangoja?