Sampromo Ads

Sampromo Ads Advertisements

04/06/2026

Ni kwa uwezo wa mungu ambaye amempa utashi dereva akafanya tukio ambalo si la kawaida huko India majira ya Jioni mjini Mumbai baada ya Dereva wa ambulance kuonyesha uimara alipojaribu kumkwepa mzee aliyekuwa anakatiza mbele ya barabara kipindi ambulance hiyo ikiwa Inawahisha mgonjwa hospitality

✍️

03/06/2026

Muda mwingine kukosa kazi za kufanya ndiko kunasababisha vijana kujihusisha na michezo ya ajabu ambayo inaleta athari kubwa kwenye familia zao, sio kwamba haiwezikani ila itakuwa ni kwa mara chache sana mtu kujihushisha na michezo ya hatari ikiwa ana kazi maalumu inayomfanya awe bize muda wote.

📸

29/05/2026

Kuna watu wanaamini ukienda kutafutia maisha Nchi za ulaya na Marekani maisha yanakuwa ni rahisi sana na mtu hachelewi kufanikiwa kumbe kiuhalisia wataalamu wa mambo wanasema maisha hutafutwa mahala popote pale haijalishi nchi gani na kuhusu mafanikio mtu hufanikiwa akiwa anafanya kazi fulani inayomuingizia kipato na si vinginevyo.

✍️

14/05/2026

Asikuambie mtu ngumi zinauma mtu akishapaniki sio wa kumkalia karibu 😂😂

📸

12/05/2026

K**a unabisha Pauline walevi raha ya hii kitu yaani baadaye akiuulizwa mbona pombe inakutesa ila hauiachi atakuambia hakuna kitu kitamu k**a pombe na pale ninapo yumba ndipo naskia raha sana 😁😁

✍️

12/05/2026

Wageni wengine kutoka nchi zingine wanasema Dar es Salaam ni mji mzuri na wa kuvutia sana kutokana na muonekano wake wa kipekee na hilo lipo wazi Dar es Salaam inawaka sana ni Jiji la kuvutia sana 💥💥💥

📸

09/05/2026

Katika mikwazano ya hapa na pale yeye na dereva jamaa akakimbilia kutoboa matairi ya gari ila tairi ikaripuka na kumjeruhi vibaya sana. (Sehemu halisi na muda halisi wa video hii havijaoatikana kirahisi kwa sababu ni video iliyosambaa mtandaoni bila chanzo sahihi) 🙏🙏

✍️

08/05/2026

Sasa kwenye maisha Kuna wengine hutangulia mafanikio kipindi wengine wakiwa wako nyuma kufanikiwa vile mungu hufanya mambo ya kushangaza ghafla mambo yanageuka ambaye aliyetangulia hurudi nyuma na aliyerudi nyuma hugeuka mshindi.

✍️

07/05/2026

Dunia haijaanza leo pengine kula unachokiona kinafanyika sasa kilishawahi kufanya zamani ila sasa kinafanyiwa maboresho ya kisasa tu yaani Uhuni, Vurugu ama hata wema watu wameshaanza kufanya toka zamani ona huu utundu ambao jamaa aliufanya mwaka 1998 huko.

✍️

Address

Sinza
Dar Es Salaam
DARESSALAAM

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sampromo Ads posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share