18/10/2025
Mtu mkarimu yuko huru kwa sababu anamiliki pesa zake, wakati bakhili hastahili kuitwa huru kwa sababu pesa zake zammiliki yeye..
[Kitabu: Disciplining The Soul, kilichoandikwa na Abdul F***j Ibn al-Jawzi (رحمه الله)]