P A M B A N A

P  A  M  B  A  N  A Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from P A M B A N A, Social Media Agency, Dar es Salaam.

26/06/2025

Aaiseee kumeanza kuchangamka, shuhudia hawa BAIKOKO wa Buza wakijiachia kwenye stage.

20/06/2025

RAFIKI WA DOGO OBAMA ASIMULIA ALIVYOTISHIWA BUNDUK! AKIWA ANAFUTA VIOO UBUNGO_SI

Maisha ya dar!!!!!hii kitu ni cha kawaida sana hasa unavyozidi kupanga ndio room inavyozidi kujaa
26/03/2025

Maisha ya dar!!!!!hii kitu ni cha kawaida sana hasa unavyozidi kupanga ndio room inavyozidi kujaa

Mwanadada Joani Mwaipaja ameweka wazi kuwa hapendi kabisa kubishana na na watu wasiokuwa na kipato (masikini)."Wadada we...
05/02/2025

Mwanadada Joani Mwaipaja ameweka wazi kuwa hapendi kabisa kubishana na na watu wasiokuwa na kipato (masikini).

"Wadada wengi wanateseka na maisha yangu na pesa zangu nawanyima usingizi. Mumekaza na nakunywa pombe nakunywa pombe !!! kwani mliambiwa kunywa pombe ni dhambi..!!!? kwanza mimi sibishani na watu masikoni." - Joan Mwaipaja.

Kajala na binti yake Paulah K**a mapacha ebu acha wivu mwaga makopakopa mengi kwao ❤️💖❤️💚
01/02/2025

Kajala na binti yake Paulah K**a mapacha ebu acha wivu mwaga makopakopa mengi kwao ❤️💖❤️💚

  Mkuu wa shule ya sekondari Chambo iliyopo katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama, mkoani Shinyanga, Zaharani Pat...
01/02/2025

Mkuu wa shule ya sekondari Chambo iliyopo katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama, mkoani Shinyanga, Zaharani Patrombeyi (44), amejiua baada ya kunywa kitu kinachodhaniwa kuwa ni sumu.

K**anda wa jeshi la polisi mkoani humo SACP Janeth Magomi, amethibitisha kwa njia ya simu kutokea kwa tukio hilo na kwamba jaribio la kunywa kimiminika hicho lilifanyika January 29 mwaka huu 2025, majira ya saa tano asubuhi katika kijiji na kata Chambo, tarafa ya Dakama.

SACP Magomi alieleza kuwa baada ya Mwalimu huyo kunywa kimiminika kinachosadikiwa kuwa ni sumu alizidiwa na ndipo alipokimbizwa katika hospitali ya manispaa ya Kahama kwa matibabu ambapo alipoteza maisha January 31 majira ya asubuhi wakati akiendelea na matibabu.

Alisema kuwa uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea ili kujua chanzo cha Mwalimu huyo kufikia hatua hiyo kwani hakuacha ujumbe wowote kuhusiana na tukio hilo.
“Alijaribu kujiua kwa kunywa kitu kinachosadikika kuwa ni sumu ambacho bado tunasubiri uchunguzi wa daktari, na kwa bahati mbaya sana majira ya asubuhi Mwalimu huyo amefariki dunia alipokuwa akipatiwa matibabu katika hospitali ya wilaya ya Kahama” Alieleza K**anda Magomi

Alieleza kuwa jaribio la kujiua ni kujichukulia sheria mkononi na endapo Mwalimu huyo asingefariki basi angeshtakiwa kwa kujaribu kujiua ambalo ni kosa kisheria.

Mmoja wa mashuhuda ambae hakutaka kutaja jina lake, alisema Mwalimu Zaharani enzi za uhai wake hakuwahi kuwa na ugomvi na mtu yeyote, kijijini hapo, alishirikiana vyema na jamii inayozungumka, na kwamba hata wao wameshangaa kuona akiwa katika hali mbaya akipelekwa hospitalini na mwisho wake kufariki.

Baada ya kuwepo kwa taarifa za kuwa msanii   yupo mbioni kuondoka WCB na kuweka wazi kuwa hatotozwa chochote au  kulipis...
01/02/2025

Baada ya kuwepo kwa taarifa za kuwa msanii yupo mbioni kuondoka WCB na kuweka wazi kuwa hatotozwa chochote au kulipishwa gharama zozote zile na msanii

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, amefuta picha zote alizowai kuzipost kwenye akaunti iyo na huku akiwa bado amebakisha utambulisho wa kuwa chini (Undersign) ya WCB.

Mbosso Khan Diamond Platnumz 😭

31/01/2025

Waliokuwa wanaisubiri kwa hamu ngoma mpya kutoka kwa msanii wa k**e Tanzania sasa ametangaza rasmi kuwa ngoma iko tayari kutoka,

Mtandao maarufu wa kijamii Tiktok umeripoti kuwa mwaka 2024 imemlipa Mchekeshaji maarufu Khaby Lane zaidi ya dola za kim...
31/01/2025

Mtandao maarufu wa kijamii Tiktok umeripoti kuwa mwaka 2024 imemlipa Mchekeshaji maarufu Khaby Lane zaidi ya dola za kimarekani milioni 20 bila kusema neno lolote.

Khaby akiwa na wafuasi milioni 162 katika mtandao wa Tiktok analipwa dola za kimarekani 750,000 kwa kila chapisho (Post) na kufanya kuwa mtengeneza maudhui ya mtandaoni anayelipwa zaidi.

I

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when P A M B A N A posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share