Jawa Graphics

Jawa Graphics Jawa Graphics services tunahusika na kutengeneza posters,logo, flyers, business card, label, book cover na video za matangazo.

Vilevile tunatoa huduma za mafunzo ya Graphics na mbinu za kukuza soko kupitia social media.

07/09/2025
Jawa Graphics
07/09/2025

Jawa Graphics

Karibu jawa Graphics 0657360750
07/09/2025

Karibu jawa Graphics 0657360750

MGORE BUILDERS Asante sana Kwa kuniamini
12/07/2025

MGORE BUILDERS Asante sana Kwa kuniamini

Shukrani kwa kuniamini Jawa Graphics, karibu sana
07/07/2025

Shukrani kwa kuniamini Jawa Graphics, karibu sana

Eid Mubarak wateja wetu wa nguvu ninyi ni wa thamani sana kwetu. Tunawapenda.Jawa Graphics Jane Davis
31/03/2025

Eid Mubarak wateja wetu wa nguvu ninyi ni wa thamani sana kwetu. Tunawapenda.
Jawa Graphics
Jane Davis

Asante kushukuru ๐Ÿ™๐Ÿ™
29/03/2025

Asante kushukuru ๐Ÿ™๐Ÿ™

SHUKRANI ZA KAMATI YA TUZO YA USHAIRI CHAGUO LA WASOMAJI (TUCHAWA)

Kamati ya Tuzo ya Ushairi Chaguo la Wasomaji (TUCHAWA) inatoa shukrani za dhati kwa mahudhurio ya tukio la kilele cha Tuzo ya Ushairi Chaguo la Wasomaji 2024-2025, lililofanyika katika Ukumbi wa Ngome Holding Hall, Sinza โ€“ Afrika Sana, Dar es Salaam, Tanzania, siku ya Ushairi Duniani, tarehe 21 Machi 2025.

Tunamshukuru sana Mgeni Rasmi, Mheshimiwa Nyambari Nyangwine, Mwenyekiti wa Makampuni ya Nyambari Nyangwine, kwa heshima kubwa aliyotupa ya kushiriki nasi na kupendezesha shughuli yetu kwa namna ya kipekee.

Shukrani za pekee pia kwa viongozi na wawakilishi kutoka taasisi mbalimbali ambao waliheshimu mwaliko wetu na kushiriki nasi:

BASATA

BAKITA

BAKIZA

CHAKUWAZA

WAKITA

UKUTA

UBALOZI WA INDIA

TPAKI

Tunawashukuru pia wadau wa vyombo vya habari waliotufanikishia kufikisha sauti ya ushairi kwa jamii:

TBC

Radio One

UFM

EATV

Tungo Tata TV

Mdundo FM

Top Plus TV

Shukrani za dhati pia ziwafikie wadhamini wetu waliotuunga mkono na kuhakikisha mafanikio ya hafla hii:

Nyambari Nyangwine Group of Companies

Mtalimbo Books

Marmโ€™z Relationship Hub

Kuabedgo Events

Indomie

Kalamu Tulivu

Adroit Decor

Jawa Graphic Services

Sales Malula G.E

Jike la Simba FPP

Mpakani Tunaweza Organization

Hatutasahau mchango mkubwa wa washairi wetu, wageni waalikwa kutoka tasnia za habari, filamu, ucheshi, na muziki ambao walifanya tukio hili kuwa la kipekee.

Mwisho, tunawashukuru wageni wote waalikwa kwa kujumuika nasi. Hakika, mmeuinua na kuheshimisha Ushairi wa Afrika Mashariki!

Asanteni Sana!

Sheikh Hussein Kondo Abdallah
Katibu wa TUCHAWA

Hongera Mkurugenzi mtendaji wetu, Bi Jane Davis kwa kufikia hatua hii muhimu.Tunakutakia mafanikio endelevu katika juhud...
24/03/2025

Hongera Mkurugenzi mtendaji wetu, Bi Jane Davis kwa kufikia hatua hii muhimu.Tunakutakia mafanikio endelevu katika juhudi zako zote.
ยฉJawa Graphics services

Kuelekea usiku wa mshairi, Jawa Graphics Services inakuletea ofa kabambe! Tunakualika utengeneze nasi ili kupata huduma ...
20/03/2025

Kuelekea usiku wa mshairi, Jawa Graphics Services inakuletea ofa kabambe! Tunakualika utengeneze nasi ili kupata huduma bora na za kipekee kwa punguzo la 50%
Tunatoa huduma za kubuni nembo, vipeperushi, mabango,lebo, sticker , business card , Kalenda na book cover.
Wasiliana nasi WhatsApp au sms 0657360750
Jane Davis

Address

Senza Africa Sana
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jawa Graphics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share