05/10/2024
Leo nitaenda kukuonesha vitu vya mwanzo kabisa vya kuzingatia uanzapo biashara online.
1. Malengo yako ni yapi ( Target)
either .kutengeneza mauzo
.kutengeneza awareness (watu wa kujue)
.kuongeza mauzo
2.hadhira ya bidhaa zako ni ipi? (What's your target audience?)
3. Je unakuja na kitu gani kipya sokoni??
(Your unique selling point)
4. Je ni matatizo au changamoto gani bidhaa zako inaenda kutatua