Hames Grafix

Hames Grafix Your Creative Solutions Partner�|
Let's Design Your Digital Success Story �|
Expert in�
Graphic Designing & Social Media Management
Call Us: 0744969553

28/04/2026

Packaging ya Business Cards tayari kwa mteja wetu

Box Ni bure 🔥🔥🔥

❤️❤️

27/04/2026

Hakuna kulala Ndugu zangu kazi zinaendelea 24hrs 😅

❤️❤️

26/04/2026

Jesus is my King

Ukiwa Na Picha K**a hii at least moja tuu upako unakutembelea mtu wangu 😅

26/04/2026

Hii nayo ishikushinde basi mchangiane 5k wewe Na huyo mhalifu mwenzio mpate K**a hii kwa 10k tuuu 😅😅😅

❤️❤️

21/04/2026

⚠️ Wewe ni content creator na bado unatumia CapCut ya bure?

Hii ndiyo sababu videos zako hazifikii watu wengi...

Waswahili wanasema "mwenye mbio ndiye mwenye faida" — na leo mbio ni za bei hii ya CapCut Pro ambayo haijabadilika HATA KIDOGO pamoja na mfumuko wa bei unaoendelea nchini.

Majira haya ya bei ngumu, hii ni fursa HALISI:

✅ Remove watermark kikamilifu
✅ Trending Templates zaidi ya 1000+
✅ AI background remover
✅ Auto-captions kwa Kiswahili & English
✅ Export kwa quality ya 4K

💸 PIGA HESABU:
▪️ Wiki moja ya data = Tshs 10,000
▪️ CapCut Pro mwezi mzima = Tshs 10,000

💰 BEI ZETU:
🔹 Mwezi 1 — Tshs 10,000
🔹 Miezi 3 — Tshs 25,000
🔹 Miezi 6 — Tshs 45,000
🔹 Mwaka mzima — Tshs 80,000 (deal kubwa!)

Ni choice gani ya busara?

📲 Piga simu au WhatsApp SASA hivi: 0753 969 553

DM au wasiliana nasi moja kwa moja. Unasubiri nini? ⏰

21/04/2026

Wewe bado unatumia bahasha ya plain? 😬

Washindani wako wanajibrand — wateja wanawaamini zaidi, wanafanya sales zaidi.

Siri yao? Details ndogo k**a printed envelope zinafanya tofauti kubwa SANA.
💼 Bahasha yenye logo yako
🎨 Design yako au tunakusaidia bure
🚀 Order leo, uwe ready mapema

Drop a 📩 kwa DM au comment "NATAKA" hapa chini — tutakufikia mara moja!

19/04/2026

Hakuna "tutafanya kesho" — tunafanya SASA HIVI. 🕧

Video hii ilitengenezwa saa tisa usiku baada ya kupokea order ya trifold brochure.
Design. Print. Deliver. — mfumo wetu haustuki. Kila mteja anapata kazi ya haraka bila kupoteza ubora.

Digital printing yetu inazungumza peke yake. 🎯

Unataka brochure, flyer kwa ajili ya kutangaza biashara yako?

📲 Wasiliana Nasi Kupitia 0744 969 553

09/04/2026

Social Media Posts Design

⚠️ Wewe ni content creator na bado unatumia CapCut ya bure?Hii ndiyo sababu videos zako hazifikii watu wengi...Waswahili...
06/04/2026

⚠️ Wewe ni content creator na bado unatumia CapCut ya bure?

Hii ndiyo sababu videos zako hazifikii watu wengi...

Waswahili wanasema "mwenye mbio ndiye mwenye faida" — na leo mbio ni za bei hii ya CapCut Pro ambayo haijabadilika HATA KIDOGO pamoja na mfumuko wa bei unaoendelea nchini.

Majira haya ya bei ngumu, hii ni fursa HALISI:

✅ Remove watermark kikamilifu
✅ Trending Templates zaidi ya 1000+
✅ AI background remover
✅ Auto-captions kwa Kiswahili & English
✅ Export kwa quality ya 4K

💸 PIGA HESABU:
▪️ Wiki moja ya data = Tshs 10,000
▪️ CapCut Pro mwezi mzima = Tshs 10,000

💰 BEI ZETU:
🔹 Mwezi 1 — Tshs 10,000
🔹 Miezi 3 — Tshs 25,000
🔹 Miezi 6 — Tshs 45,000
🔹 Mwaka mzima — Tshs 80,000 (deal kubwa!)

Ni choice gani ya busara?

📲 Piga simu au WhatsApp SASA hivi: 0753 969 553

DM au wasiliana nasi moja kwa moja. Unasubiri nini? ⏰

30/03/2026

Trending Footer Design

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hames Grafix posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share