Raia Mwema

Raia Mwema Muungwana ni Vitendo The Official page for RaiaMwema Newspaper

01/11/2018

Makampuni 10 yatangaza nafasi za ajira, ‘Apply hapa’ 01 November 2018 Thursday 11:29 Title: Internship – Industrial Engineer Type: Full time Summary: Sao Hill Industries Ltd seeks to recruit interns in the field of Industrial engineering. Company name: Sao Hill Industries Ltd Company industry:...

13/10/2018

Yanga hawana tatizo na Ibrahim Ajib kurejea Simba 13 October 2018 Saturday 12:00 Siku chache tangu meneja wa mchezaji wa Yanga, Ibrahim Ajib kutamka kuwa kuna baadhi ya timu zimeonyesha kumhitaji mshambuliaji huyo, uongozi wa Klabu ya Yanga umeibuka na kusema hakuna kitu cha bure na yeyote anayemhit...

10/10/2018

LHRC yapinga hukumu ya kifo mahakamani 10 October 2018 Wednesday 21:38 Na mwandishi wetu, Dar es Salaam KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimefungua kesi ya Kikatiba namba 22 ya mwaka 2018 kupinga uwepo wa adhabu ya lazima ya kifo (mandatory death penalty). Hatua hiyo imetangazwa leo jijin...

10/10/2018

Mfumuko wa bei wa asilimia 10,000,000 unafananaje? 10 October 2018 Wednesday 11:10 Mfumuko wa bei wa asilimia milioni 10 ukoje? Wakati kitu leo kikiwa kinauzwa shilingi 1 kinaweza kupatikana kw ash 100,000, je, ipo njia ya kukokotoa madhara yake? Baada ya kushudia bei zikipanda kwa kiasi kisichomith...

10/10/2018

Baada ya taarifa za kutakiwa Ligi Kuu England kuenea, wakala wa Samatta afunguka 10 October 2018 Wednesday 08:16 Baada ya kuzuka tetesi jana juu ya Mtanzania, Mbwana Samatta anayekipiga katika klabu ya KRC Genk huko Ulaya, wakala wa mchezaji huyo, Jamali Kisongo, ameibuka na kukanusha habari hizo. I...

09/10/2018

Everton inasemekana inaendelea kutafuta mshambuliaji wa kuziba pengo lililoachwa na Romelu Lukaku

08/10/2018

Wafungwa wateka gereza, watoa masharti mazito 08 October 2018 Monday 13:22 KATIKA hali isiyo ya kawaida, wafungwa wanaoshikiliwa kwenye gereza la Juba nchini Sudan Kusini wanadaiwa kuliteka gereza hilo huku wakiwa na silaha ikiwemo bunduki na visu, wakishinikiza kuachiliwa huru kwa wafungwa wa kisia...

08/10/2018

China yathibitisha kumshikiria Rais wa Interpol 08 October 2018 Monday 13:18 NCHI ya China imethibitisha kumzuia Rais wa Shirika la Polisi wa Kimataifa (Interpol), Meng Hongwei ikidai kuwa anafanyiwa uchunguzi na Tume ya Kupambana na Rushwa juu ya tuhuma ya ukiukaji wa sheria inayomkabili. Wakati ha...

08/10/2018

Mengi makubwa yabainika

Address

Kiwanja Na. MNY/KMB/356, Mtaa Wa Kambwangwa, Barabara Ya Mwinjuma, Kinondoni
Dar Es Salaam

Telephone

+255-222401310

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Raia Mwema posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share