Afritek

Afritek Contact us through 0698 160 100

Followers | Subscribers | Likes | Views |

Tunakuza account za mitandao ya kijamii
Instagram | Youtube | Facebook | Tiktok

Ongeza thamani biashara yako ili uongeze mauzo.

07/07/2025
1. Kitu cha maana(Ndoto kubwa)  huamsha nguvu ya ndani, hata k**a njia ni ngumu.2. Mara nyingi, hali haitakuwa rafiki ha...
12/04/2025

1. Kitu cha maana(Ndoto kubwa) huamsha nguvu ya ndani, hata k**a njia ni ngumu.

2. Mara nyingi, hali haitakuwa rafiki hata siku moja—lakini moyo wako ukisema “nenda”,niamini mimi inawezekana. Msukumo wa kweli upo kutoka ndani yetu.

3. Ukubwa wa jambo haupimwi kwa urahisi wake, bali kwa thamani yake.✍️

4. Usikubali hofu ya kushindwa ikuzuie kujaribu, Ili ufanikiwe ni lazima ujaribu hadi pumzi yako ya mwisho (Get rich, die trying).

5. K**a jambo unataka kuliendea na unaona ni la muhimu kwako na maisha yako kwa ujumla, Ondoa na zika hofu kisha lifanye. Odds si kikwazo hata kidogo , Isipokua ni changamoto.

6. Anza leo ili kesho upate ushuhuda mkubwa wa kuyasimulia mapito na mafanikio yako. Umejifunza ? Usisahau kushare na marafiki ili waendelee kujifunza haya.





FANYA HIVII K**A 'CAROLYN' ILI UFIKIE SAFARI YAKO!✍️ Miaka ya 1970's fursa NZITO! ilimdondokea binti mdogo CAROLYN DAVID...
11/04/2025

FANYA HIVII K**A 'CAROLYN' ILI UFIKIE SAFARI YAKO!

✍️ Miaka ya 1970's fursa NZITO! ilimdondokea binti mdogo CAROLYN DAVIDSON aliyekua mwanafunzi mchanga wa Graphics designing nchini marekani.

👟 Bwana Phil Knight yeye alikua ana kiwanda chake cha viatu kwahiyo alihitaji LOGO itakayoendana na brand ya viatu vyake. Na Deal hii ikadondokea kwa Carolyn. USISAHAU NI MWANAFUNZI😇

💸 Kwa kazi hii Ms. CAROLYN alilipwa Dola 35 tu za kimarekani, Sawa na Shilingi Elfu 98,000/- za kibongo ingekua leo hii😳.

☑️ Baada ya kuhangaika weee😄, mwisho akaja na alama ya tiki au pata k**a wengi wetu tunavyoita.Ila duniani inafahamika zaidi k**a 'SWOOSH'.Yeye mwenyewe akisema alimaanisha HARAKATI NA KASI!

🤔 Mwanzoni k**a ilitaka kutiliwa shaka hivi na hata yeye mwenyewe hakuamini k**a ingekubaliwa,Hofu ilimuingia k**a alipatia au alitoa boko😅.

📈 Haikuchukua muda Logo ikakubalika sio tu kwao ,ila safari hii dunia nzima ikaitambua SWOOSH k**a moja ya Logo bora na zenye ushawishi mkubwa duniani hasa upande wa industry ya michezo.

NOTE📝

🫅 Ms. CAROLYN DAVIDSON safari yake inatufundisha juu ya kuthubutu kuziendea fursa bila kujalisha changamoto inayokukabili. Jaribu kuwaza k**a CAROLYN angeogopa kuchukua fursa iliyomjia kisa tu yeye mwanafunzi, vipi tungemzungumza leo hapa?

🗝️ Hakujali yeye ni mwanafunzi,isipokua alichotanguliza mbele ni kuamini uwezo wake huohuo mdogo kwa ukubwa kisha KUTHUBUTU!



NB:

🚀 TOKA KWENYE COMFORT ZONE UONE UTAKAVYOSHUHUDIA UKUAJI WAKO WA AJABU🌟

Umejifunza? Usisahau kushare na marafiki wapate kujifunza.

Kutoka kwenye wazo hadi kuwa alama/logo ya kipekee. This is  "where creativity meets perfection".
08/04/2025

Kutoka kwenye wazo hadi kuwa alama/logo ya kipekee. This is "where creativity meets perfection".



Happy Karume Day! Shujaa wa Mapinduzi, aliyetuachia dira ya kweli ya uhuru.
07/04/2025

Happy Karume Day! Shujaa wa Mapinduzi, aliyetuachia dira ya kweli ya uhuru.



Wateja huja na kuondoka—jamii hubaki. Anza kujenga yako leo.
07/04/2025

Wateja huja na kuondoka—jamii hubaki. Anza kujenga yako leo.





Ewe mfanyabiashara,    Bidhaa nzuri sio kigezo pekee cha kufanya bidhaa zako kuwa na bei ya juu. Wateja wanahitaji kuele...
05/04/2025

Ewe mfanyabiashara,
Bidhaa nzuri sio kigezo pekee cha kufanya bidhaa zako kuwa na bei ya juu. Wateja wanahitaji kuelewa thamani. Eleza faida, tatua matatizo yao, na jenga uaminifu kwa wateja wako.Kuuza kwa bei ya juu bila maelezo ni chanzo kinachopelekea mauzo duni kwa wafanyabiashara wengi sana✍️.



afanya wateja wako kuwa wateja wa kudumu na ikiwezekana wakuletee wateja wengine zaidi na zaidi ( Referral Market ), Som...
04/04/2025

afanya wateja wako kuwa wateja wa kudumu na ikiwezekana wakuletee wateja wengine zaidi na zaidi ( Referral Market ), Soma 👇

1. Usidanganywe na followers wengi – thamani yako ni jinsi unavyowaacha wateja wako wakihisi.

2. Kila bidhaa unayouza ni ahadi; ukiivunja, soko litakusahau haraka.

3. Huduma mbovu ni matangazo mazuri kwa washindani wako – waheshimu wateja wako.

4. Watu hawakumbuki bei, wanakumbuka jinsi ulivyowafanya wajisikie.

5. Jenga imani, si mauzo tu – pesa huja kwa wale wanaoaminika.

✍️ Mtu wa Mungu usiharakishe biashara bila mkakati, kwani ukuaji wa kweli unahitaji msingi imara. Fuata utaratibu sahihi...
03/04/2025

✍️ Mtu wa Mungu usiharakishe biashara bila mkakati, kwani ukuaji wa kweli unahitaji msingi imara. Fuata utaratibu sahihi, boresha thamani yako, ili ujipatie matokeo makubwa yatakayodumu muda mrefu.

✍️ Fahamu kuwa Kukimbilia mafanikio bila mipango imara na thabiti ni kupoteza muda bure.


"Wishing you Eid Mubarak! May this special season bring you joy, peace, and endless blessings."   🌙
02/04/2025

"Wishing you Eid Mubarak! May this special season bring you joy, peace, and endless blessings."



🌙

Address

Dar Es Salaam
11000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afritek posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share