10/07/2020
Habar, nahitaji kijana mmoja wa kazi ya kuuza chips
Sifa:
-nidhamu kwa kila mtu
-mfanyaji kweli kazi (sio wa kitafuta kodi tu au hela ya kuvaa bali mwenye malengo )
-awe msafi wa mwili na mazingira
-mkarimu kwa wateja
-mwaminifu
- mzoefu
Nb: kazi ni mpya nitahitaji yeye ndio apange bajeti nzima ya vifaa na kila kitu...
ENEO LA KAZI NI DAR ES SALAAM
Leo na kesho napatikana kwa whatsapp 0715 064164 / 0742 064164baada ya hapo nitapatikana kwa call na msg na whatsapp kwa ujumla..